Vodacom wasalimu amri

Vodacom wasalimu amri

Mtandao gani kuna unafuu na internet iko stable?

Usiniambie airtel pale hamna mtandao kuna wizi wa rejareja
Halotel ni baba la 1 gb kwa 500 6 usiku hadi 12 asubui
1000 1gb wiki
15k 20gb mwezi
Kwa eneo langu 4g inasoma na Ni kasi ya hatari voda magoigoi
 
Me nimeridhika na kile cha Gb 3.5 kwa 2,000
Mimi nilijaribu cha 5k kwa wiki MBs nikawa natumia chini ya 24 hrs.

Nikajaribu cha 10k a week bado Mbs hazivuki Siku tatu nikaamua kununua za 1k zikiisha napumzika kutumia internet.
 
Halotel ni baba la 1 gb kwa 500 6 usiku hadi 12 asubui
1000 1gb wiki
15k 20gb mwezi
Kwa eneo langu 4g inasoma na Ni kasi ya hatari voda ma goigoi
Hicho cha saa sita usiku ni useless utakitumiaje wakati muda huo ni wa kulala ?
 
Ili kutibu hili tatizo ni muhimu Serikali iangalie uwezekano wa Watumiaji wa simu kuwa Wamiliki wa Namba za simu ili mtu awe na uwezo wa kubadili Mtandao wa simu bila kupoteza namba hizo Ili mitandao iwe na kazi ya kuboresha huduma ili ku retain wateja.
 
Ukweli vodacom wanatuibia sana hasa kwenye muda wa data kuisha
 
Ili kutibu hili tatizo ni muhimu Serikali iangalie uwezekano wa Watumiaji wa simu kuwa Wamiliki wa Namba za simu ili mtu awe na uwezo wa kubadili Mtandao wa simu bila kupoteza namba hizo Ili mitandao iwe na kazi ya kuboresha huduma ili ku retain wateja.
Likifanyika hili la kumiliki namba ya simu wewe kazi Ni kubadili mtandao ingekua safi sana
 
Back
Top Bottom