Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi
niko eneo ambalo net za mitandao 'mingi' iko slow sana ( chini ya 34kbps ), isipokua Tigo ( naona work-load imepungua kwakua bando ni ghali )
waendelee kukaba ivyo-ivyo
Nimeliweka pending kwa kupigiwa tu. Lishakua takataka