Vodacom wasalimu amri

Vodacom wasalimu amri

Duh kwa wiki 14k mwezi 60k na bado dakika unazopewa ukiongea na watu watatu tu zimeisha.

Halafu waziri wa bando anajitapa kuwa sisi bei yetu ya data ni cheap.
Kuna siku hua natumia WiFi, kuna siku ya kuwa offline, dakika sijiungagi kabisa, sms za airtel buku mwezi mzima
 
Hili ndiyo linalofanya niendelee kuibiwa na vodacom atleast wanainternet stable unaweza kutumia bila shida ila bei ndiyo mtihani na data kuisha haraka
Yeah ikisoma 4G ni 4G haswa
 
Mimi naona tigo na voda zangu zote wamenipa offer sawa alafu ndio mitandao ambayo natambulika, now nimerudi kwenye mitandao yangu.
 
Mimi naona tigo na voda zangu zote wamenipa offer sawa alafu ndio mitandao ambayo natambulika, now nimerudi kwenye mitandao yangu.
Wanaupendeleo Sana sijui Ni kigezo gani wanaangalia kweli wengine wamepunguziwa na wengine wengi bado nimewapigia simu Eti wanasema wanaenda kwa awamu Ni ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom