Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
- Thread starter
-
- #21
Halotel ni baba la 1 gb kwa 500 6 usiku hadi 12 asubuiMtandao gani kuna unafuu na internet iko stable?
Usiniambie airtel pale hamna mtandao kuna wizi wa rejareja
Mimi nilijaribu cha 5k kwa wiki MBs nikawa natumia chini ya 24 hrs.Me nimeridhika na kile cha Gb 3.5 kwa 2,000
Icho Ni utumwa bibieMe nimeridhika na kile cha Gb 3.5 kwa 2,000
Hicho cha saa sita usiku ni useless utakitumiaje wakati muda huo ni wa kulala ?Halotel ni baba la 1 gb kwa 500 6 usiku hadi 12 asubui
1000 1gb wiki
15k 20gb mwezi
Kwa eneo langu 4g inasoma na Ni kasi ya hatari voda ma goigoi
NdioKila siku unatumia 2k kununua Mbs ?
Nitajaribu tena Halotel nione kama kuna unafuuHalotel ni baba la 1 gb kwa 500 6 usiku hadi 12 asubui
1000 1gb wiki
15k 20gb mwezi
Kwa eneo langu 4g inasoma na Ni kasi ya hatari voda ma goigoi
Duh kwa wiki 14k mwezi 60k na bado dakika unazopewa ukiongea na watu watatu tu zimeisha.Ndio
Hela hii ukiisave inatosha ada ya mtoto wa Nursery.Duh kwa wiki 14k mwezi 60k na bado dakika unazopewa ukiongea na watu watatu tu zimeisha.
Halafu waziri wa bando anajitapa kuwa sisi bei yetu ya data ni cheap.
Icho huwa nakitumia wk end naweka hata 2000Hicho cha saa sita usiku ni useless utakitumiaje wakati muda huo ni wa kulala ?
Kwa shughuli zangu hicho ndo kinanisaidia, ttcl ni cheap ila mtandao utajua pa kuupataIcho Ni utumwa bibie
Ukweli vodacom wanatuibia sana hasa kwenye muda wa data kuishaIli kutibu hili tatizo ni muhimu Serikali iangalie uwezekano wa Watumiaji wa simu kuwa Wamiliki wa Namba za simu ili mtu awe na uwezo wa kubadili Mtandao wa simu bila kupoteza namba hizo Ili mitandao iwe na kazi ya kuboresha huduma ili ku retain wateja.
Kuna walinzi na wale wanao ingia shift usiku na mapopoHicho cha saa sita usiku ni useless utakitumiaje wakati muda huo ni wa kulala ?
Likifanyika hili la kumiliki namba ya simu wewe kazi Ni kubadili mtandao ingekua safi sanaIli kutibu hili tatizo ni muhimu Serikali iangalie uwezekano wa Watumiaji wa simu kuwa Wamiliki wa Namba za simu ili mtu awe na uwezo wa kubadili Mtandao wa simu bila kupoteza namba hizo Ili mitandao iwe na kazi ya kuboresha huduma ili ku retain wateja.
Kama ni kweli, basi ninarudi Vodacom maana laini yao niliiweka kabatini huu mwaka wa pili sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtandao gani kuna unafuu na internet iko stable?
Usiniambie airtel pale hamna mtandao kuna wizi wa rejareja
Hiyo mitandao mingine iko slow sana kwenye internetKwa shughuli zangu hicho ndo kinanisaidia, ttcl ni cheap ila mtandao utajua pa kuupata
Cocastic nawewe unatumia airtel ?
😂😂Kama ni kweli, basi ninarudi Vodacom maana laini yao niliiweka kabatini huu mwaka wa pili sasa.
Hapo sawa kwa sisi ambao huwa tunakula chakula cha usiku macho yamelewa usingizi hicho hakitakuwa na matumiziKuna walinzi na wale wanao ingia shift usiku na mapopo