Kuna siku hua natumia WiFi, kuna siku ya kuwa offline, dakika sijiungagi kabisa, sms za airtel buku mwezi mzimaDuh kwa wiki 14k mwezi 60k na bado dakika unazopewa ukiongea na watu watatu tu zimeisha.
Halafu waziri wa bando anajitapa kuwa sisi bei yetu ya data ni cheap.
Ndo changamoto ilipoHiyo mitandao mingine iko slow sana kwenye internet
Ok hapo sawa unapunguza costs za kununua dakika kila sikuKuna siku hua natumia WiFi, kuna siku ya kuwa offline, dakika sijiungagi kabisa, sms za airtel buku mwezi mzima
Bado network ni ya kutafutaHapo sawa kwa sisi ambao huwa tunakula chakula cha usiku macho yamelewa usingizi hicho hakitakuwa na matumizi
Kwanza sina matumizi nazoOk hapo sawa unapunguza costs za kununua dakika kila siku
Hili ndiyo linalofanya niendelee kuibiwa na vodacom atleast wanainternet stable unaweza kutumia bila shida ila bei ndiyo mtihani na data kuisha harakaBado network ni ya kutafuta
Wewe huwa haupigi simu ?Kwanza sina matumizi nazo
Yeah ikisoma 4G ni 4G haswaHili ndiyo linalofanya niendelee kuibiwa na vodacom atleast wanainternet stable unaweza kutumia bila shida ila bei ndiyo mtihani na data kuisha haraka
HapanaWewe huwa haupigi simu ?
Hiki unakipata kwenye menu gani Mkuu15k 20gb mwezi
KwaniniHapana
Duh hii mpya kwanguHapana
Namaliza kila kitu kwenye msg na kama kuna uhitaji sana naomba kupigiwa, au nikipewa dakika za offaKwanini
Sio mpenzi wa kuongea na simu kabisaDuh hii mpya kwangu
HongeraMimi naona tigo na voda zangu zote wamenipa offer sawa alafu ndio mitandao ambayo natambulika, now nimerudi kwenye mitandao yangu.
Anaetumia mutandao ya tigo pole yake
Wanaupendeleo Sana sijui Ni kigezo gani wanaangalia kweli wengine wamepunguziwa na wengine wengi bado nimewapigia simu Eti wanasema wanaenda kwa awamu Ni ujinga mtupu.Mimi naona tigo na voda zangu zote wamenipa offer sawa alafu ndio mitandao ambayo natambulika, now nimerudi kwenye mitandao yangu.
Mimi naona tigo na voda zangu zote wamenipa offer sawa alafu ndio mitandao ambayo natambulika, now nimerudi kwenye mitandao yangu.