johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yohana hawa jamaa wameonyesha uzalendo wa kweli.Kampuni ya simu ya Vodacom imetoa mchango wa shilingi bilioni 2 kusaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.
Mchango huo amekabidhiwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu
Source Channel ten!
My take; mbona hatuioni michango ya vyama vya siasa kwa mfano Chadema?
CCM wameshatoa?Kampuni ya simu ya Vodacom imetoa mchango wa shilingi bilioni 2 kusaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.
Mchango huo amekabidhiwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu
Source Channel ten!
My take; mbona hatuioni michango ya vyama vya siasa kwa mfano Chadema?
Wao ndio wanapokea!
Atagombea ubunge jimbo la Kawe!Bundles zitapanda muda wowote kuanzia sasa.
Kingmaker RA kajitoa sana kwenye hili la COVID utafikiri anataka kurudi siasani tena.
Ahsante kwa niaba yao!Hatua Nzuri nawapongeza vodacom
Hiyo michango bado sijaona matumizi yake, kama yupo alieyaona anijulishe tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina shida bwashee!
Huna akili! Swali la msingi la kujiuliza hapa ni je hii michango inatumika wapi na siyo kujiuliza mbona fulani na fulani hatumuoni akichangia!My take; mbona hatuioni michango ya vyama vya siasa kwa mfano Chadema?
Wewe ulinunua vocha hukuchangia corona!