Unaibiwa halafu unarudishiwa kiasi na bado unashukuru. Ninyi wapiga debe wa awamu ya nne mna akili kweli.
Pili, hivi Corona inachagua vyama! Hili ni tatizo linaloumiza jamii bila kujali itikadi za vyama.
Kwanini mnaendelea kulimaliza Taifa kwa kuligawa katika ujinga ujinga tu. Kwanini hamuelekezi nguvu kupambana na Corona mliyozembea na sasa 'mnamgeukia' Mungu licha ya fursa alizotoa za kujifunza kutoka kwa wengine.
Kila kifo au aumbukizi la Corona ni matokeo ya kushindwa kwa serikali kulikabili tatizo
JokaKuu tindo Pascal Mayalla