Vodacom yachangia Tsh. 2 bilioni mapambano dhidi ya Corona

Vodacom yachangia Tsh. 2 bilioni mapambano dhidi ya Corona

Huna akili! Swali la msingi la kujiuliza hapa ni je hii michango inatumika wapi na siyo kujiuliza mbona fulani na fulani hatumuoni akichangia!
Unauliza kinyeo cha dog wakati umeshika mkia?

Fedha zitanunua vifaa kinga!
 
Unaibiwa halafu unarudishiwa kiasi na bado unashukuru. Ninyi wapiga debe wa awamu ya nne mna akili kweli.

Pili, hivi Corona inachagua vyama! Hili ni tatizo linaloumiza jamii bila kujali itikadi za vyama.

Kwanini mnaendelea kulimaliza Taifa kwa kuligawa katika ujinga ujinga tu. Kwanini hamuelekezi nguvu kupambana na Corona mliyozembea na sasa 'mnamgeukia' Mungu licha ya fursa alizotoa za kujifunza kutoka kwa wengine.

Kila kifo au aumbukizi la Corona ni matokeo ya kushindwa kwa serikali kulikabili tatizo

JokaKuu tindo Pascal Mayalla
 
Mashirika haya ya simu ni bure kabisa huku kusini mwa jangwa la Sahara
Nilidhani wangeshauriana na kushirikiana kwenye tafiti na ITs' na watu wa Afya watengeneze hata apps za kuwekwa kwenye simu za wateja wao zinazoweza kugundua dalili za Awali za mgonjwa wa korona na kutoa taarifa mahala husika
Leo wanakuja na vimichango kama wajasiriamali wa pale makanyagio ya mbwa.
Hawa jamaa waje na vitu sensitive hata ukiongea raia wanakuelewa unaongea nini
2milions Vodacom aibu!!!!
 
Pamoja na kukaa ndani kwa mda na figisu kumbe bado ana hela
Bundles zitapanda muda wowote kuanzia sasa.

Kingmaker RA kajitoa sana kwenye hili la COVID utafikiri anataka kurudi siasani tena.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Mashirika haya ya simu ni bure kabisa huku kusini mwa jangwa la Sahara
Nilidhani wangeshauriana na kushirikiana kwenye tafiti na ITs' na watu wa Afya watengeneze hata apps za kuwekwa kwenye simu za wateja wao zinazoweza kugundua dalili za Awali za mgonjwa wa korona na kutoa taarifa mahala husika
Leo wanakuja na vimichango kama wajasiriamali wa pale makanyagio ya mbwa.
Hawa jamaa waje na vitu sensitive hata ukiongea raia wanakuelewa unaongea nini
2milions Vodacom aibu!!!!

Mkuu sio 2m, bali ni 2b, it's a handsome amount. Labda wafanyie kazi hizo hoja zako nyingine. Ila kama kweli wametoa 2b Ni hela nzuri.
 
Mkuu sio 2m, bali ni 2b, it's a handsome amount. Labda wafanyie kazi hizo hoja zako nyingine. Ila kama kweli wametoa 2b Ni hela nzuri.
Wapeleke kwenye tafiti mavyuoni huko Muhas
Asante kunisahihisha mkuu
 
Tukiambiwa tuchange kwa hiari nchi nzima jero jero ni wachache sana watatoa kwa sababu hatuna jadi ya kuchanga na kutoa
Michango ipo ya lazima ila ya hiari au kumpa mwenye shida huwa ni ngumu kwa wengi
Acha watoe to ingawa wateja ni wananchi
Kuna Mzee ana trend Leo ni week sasa huku [emoji636] alikuwa hospitali mgonjwa na ni mjeda msataafu ana umri wa miaka 99 Captain Tom Moore
Aliugua Corona na kapona kwa kutoa Shukran kwa wahudumu wa hospitali akasema atapiga hatua za kutembea nyumbani kwake kwa kuchangisha £1000 (3,000,000)
Hela zikaanza kuchangwa cha ajabu mpaka sasa zimefika £23m na zinaongezeka
Jamani kutoa sio utajiri hata Mia 2 ikizidishwa kwa watu million 10 ni hela ambayo ndio Voda wametoa ama

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kampuni ya simu ya Vodacom imetoa mchango wa shilingi bilioni 2 kusaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.

Mchango huo amekabidhiwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu

Source Channel ten!

My take; mbona hatuioni michango ya vyama vya siasa kwa mfano Chadema?
Tunaomba pia tuone fedha hizo zikitumika kusaidia kununua vifaa vya corona na barakoa.kwani watu wa dar wameambiwa kuanzia jtatu wavae barakoa na hawanafedha za kununuliwa barakoa.kila siku mtu anahitaji barakoa moja hivyo kwa mwezi mmoja mtu mmoja atahitaji barakia 30.serikali itumie fedha hizi za michango kwa kuwanu ulia wananchi barakoa na kuwapa bure
 
Back
Top Bottom