Vodacom yachangia Tsh. 2 bilioni mapambano dhidi ya Corona

Àlishatoa ole sosopi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bingwa wa kula hela za misaada anazisubiria kwa hamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani nikuone sura yako nione unavyofanana juha la karne wewe, CCM imechangia sh ngapi?
Vyama vya Siasa ni makampuni ya Biashara hadi vichangie?
Eti na wewe ni Baba wa familia, Aisee wanawake wanaolewa Jamani!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bundles zitapanda muda wowote kuanzia sasa.

Kingmaker RA kajitoa sana kwenye hili la COVID utafikiri anataka kurudi siasani tena.
Anarudi anajua udhaifu wa watanzania kwanza kaingia kwenye mpira kupitia yanga sasa hivi waliokuwa wanamsema fisadi wote kimya
 
Chama cha majizi kuna meko,kangi lugola na dotto james hao wamekaa kimya tu,ndio muda wa kurudisha walizopora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie CCM mshatoa mchango gani ? Ni suala la kitaifa we unaleta uchama.
 
Kumbe zile za faini hazikuwatosha! nadhani kwa mtazamo na fikra zenu mngelipenda chadema ifutiwe usajili isipotoa mchango eeeh?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na kukaa ndani kwa mda na figisu kumbe bado ana hela

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Rostam kakaa ndani? Au unamchanganya na Yusuph Manji?
 
Hawa washenzi wanatuibia kweli kweli huku. Nahisi wizi wao umepewa baraka.
 
Chadema!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…