johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #61
RC kasema unaweza kujifunga Leso usoni!Tunaomba pia tuone fedha hizo zikitumika kusaidia kununua vifaa vya corona na barakoa.kwani watu wa dar wameambiwa kuanzia jtatu wavae barakoa na hawanafedha za kununuliwa barakoa.kila siku mtu anahitaji barakoa moja hivyo kwa mwezi mmoja mtu mmoja atahitaji barakia 30.serikali itumie fedha hizi za michango kwa kuwanu ulia wananchi barakoa na kuwapa bure
Aanze yeye kujifunga leso ili tupate mahali pa kujifunziaRC kasema unaweza kujifunga Leso usoni!
Ccm wakichanga sisi tuna double within 1 weekKampuni ya simu ya Vodacom imetoa mchango wa shilingi bilioni 2 kusaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.
Mchango huo amekabidhiwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu
Source Channel ten!
My take; mbona hatuioni michango ya vyama vya siasa kwa mfano Chadema?
Unaweza kuthibitisha pasi na shaka huo wizi?Unaibiwa halafu unarudishiwa kiasi na bado unashukuru. Ninyi wapiga debe wa awamu ya nne mna akili kweli.
Pili, hivi Corona inachagua vyama! Hili ni tatizo linaloumiza jamii bila kujali itikadi za vyama.
Kwanini mnaendelea kulimaliza Taifa kwa kuligawa katika ujinga ujinga tu. Kwanini hamuelekezi nguvu kupambana na Corona mliyozembea na sasa 'mnamgeukia' Mungu licha ya fursa alizotoa za kujifunza kutoka kwa wengine.
Kila kifo au aumbukizi la Corona ni matokeo ya kushindwa kwa serikali kulikabili tatizo
JokaKuu tindo Pascal Mayalla