Voice video: Tundu Lissu afunguka akiuchambua ushahidi wa shahidi No. 1 wa Jamhuri ACP Ramadhani Kingai

Voice video: Tundu Lissu afunguka akiuchambua ushahidi wa shahidi No. 1 wa Jamhuri ACP Ramadhani Kingai

The Palm Tree

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
7,951
Reaction score
12,541


NOTE:
å Nadhani hii ndiyo imefanya jamhuri kuanzisha fujo leo mahakamani ili tu kuzuia usikilizwaji wa kesi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA (taifa) ndugu Freeman Mbowe ushindwe kuendelea...

å Ni jambo jema kuwa haya mambo yanafanyika mchana kweupe kila mtu akiona. Na uzuri ni kuwa hapa ni mambo ya sheria. Ukitenda hili utaulizwa kwa mujibu wa sheria na kifungu gani cha sheria hiyo..!

Aluta Continue...
 
Mwenye bunduki jamani aniuzie!
Has haa 😳 😳 😳 😳 😳 uunataka kuwa - Hamza polisi wetu...!!??

Aah, hapana, hatukuuzii ng'o kwa sababu tunataka tushindane kwa hoja na siyo kwa bunduki..!!
 
Serikali ya nchi hii ni ya kijinga sana, yani inapenda kujidhalilisha kwa Mambo ya hovyo kwa ajili ya maslai ya wachache tu, wacha wadhalilishwe, pumbav.
 
Haya majina yanayoishia na herufi "gai" kama Ndugai, Kingai,... sijui yana siri gani ndani yake!?
Na yule Kigaigai ambaye ni Rc wa Kilimanjaro, amekamata vijana zaidi ya 500 wanaofanya mafunzo yasiyojulikana.
 
Hakuna kesi hapo, halafu nashangaa huyu ACP Kingai ana familia kabisa lakini anakubali ujinga kama huu!


Na mimi nimefuatilia kupitia mitandaoni sioni kesi hapo

Mkuu umehama lini chama cha mtemi Hangaya? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom