Voice video: Tundu Lissu afunguka akiuchambua ushahidi wa shahidi No. 1 wa Jamhuri ACP Ramadhani Kingai

Voice video: Tundu Lissu afunguka akiuchambua ushahidi wa shahidi No. 1 wa Jamhuri ACP Ramadhani Kingai

Duuh noma naona hao jamaa wanaojadiliana na lisu wanaweza dakwa hao.....
 
Huyu jamaa Kingayi nilimwandikia ujumbe wiki 1 iliyopita nikamwambia naongea na Kingayi akasema NDIO!
 
Hakuna kesi hapo, halafu nashangaa huyu ACP Kingai ana familia kabisa lakini anakubali ujinga kama huu!


Na mimi nimefuatilia kupitia mitandaoni sioni kesi hapo
Huyu mzee ni mswahili hivyo lazima akubali kutumika ili aweze kuishi, hawezi fanya biashara yoyote
 
Mi nadhani hapa kuna haja ya mawakili wa serikali kumkataa Jaji.
 
Back
Top Bottom