Ivi kwa mfano samia anaweza mfanya mwinyi wa zanzibar kuwa makamu wake ili hali bado ni rais wa zanzibar nikimaanisha anakuwa makamu bara na rais zanzibar kwa wakati mmoja ni swali tu nataka kufahamu?Kama hujui katiba basi jifunze hata kwa historia, Rais wa Zanzibar anaweza kuwa hata makamu Bara achilia mbali urais wa JMT.
Sasa wewe aidha wafate au usiwafate, sisi inatuhusu nini? Sisi tunafta Qur'an inasema nini, wewe fata ujuavyo.Mbona unajikweza kiasi hiki ?
Bakwata ndio wenye hilo jukumu la kutangaza kuanza kwa mfungo au kumalizika kwake ili kuondoa mkanganyiko.
Mkuu cabo , asante sana kwa swali hili, japo linaonekana kama ni swali lakijinga sana kwa sababu inatarajiwa kila Mtanzania ni lazima aijue katiba, the basics, kuwa rais akitokea upande mmoja wa muungano, VP ni lazima atoke upande mwingine. Samia ni rais kutoka Zanzibar hawezi kumteua Dr Mwinyi kuwa VP.Ivi kwa mfano samia anaweza mfanya mwinyi wa zanzibar kuwa makamu wake ili hali bado ni rais wa zanzibar nikimaanisha anakuwa makamu bara na rais zanzibar kwa wakati mmoja ni swali tu nataka kufahamu?
Mkuu Babe la mji , kweli madaraka ni matamu, ila haya mambo ya sauti sii yetu ni over and above us hivyo kuyasema ndiko kusaidia kwenyewe.P pamoja kwamba wewe ni mtu wa mfumo vipi huogopi kuleta mada kama hizi maana madaraka ni matamu Sana na unaowaambia hicho kitu unadhani wanafurahi ingawa ni Cha kweli?Je hawawezi kuunganisha dots na wewe kujikuta unakua kwenye hatari ?
Kwahiyo waisilamu hawakosei au ukiwa muislamu huoni ujinga unafanyika!?Shida siyo Uzanzibari wau Uanamke wake, shida ni Uislam wake.
Nnakuhakikishia kila anaempinga mama humu basi utakuta sio Muislam.
SawaWanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.
Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading, ni unasikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila kuambiwa sababu na huwezi kuuliza, hivyo nami naomba kuwaeleza tuu sauti niliosikia na naomba msiniulize kitu kwasababu sio mimi ni sauti
Leo nilikuwa naandika bandiko fulani humu JF, ndipo ghafla nikaisikia sauti (voices from within) kuwa Rais wa JMT kwa 2025 should be Dr. Hussein Mwinyi kwa kipindi kimoja, then 2030 ndipo tuje na mgombea mwanamke!.
Sauti hiyo inamaanisha inamtaka Rais Samia awe ni Rais wa JMT kwa kipindi kimoja tuu hadi 2025. Sauti hiyo ikasema ni Rais Samia mwenyewe willingly anatakiwa kumuomba Dr. Hussein Mwinyi, 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu ya pili ya Samia, kwa awamu moja tuu,.
Na kipindi hicho cha 2025- 2030 ndio sasa sasa tufanye grooming ya Mwanamke atakagombea urais wa JMT kwa 2030.
Japo Tanzania, tulipania 2025 twende na mgombea mwanamke, na mimi niliunga mkono hoja hii Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
kama hii sauti ni yake YEYE kweli, then unamaanisha kwa uchaguzi wa 2025, Tanzania tuna mgombea mmoja tuu Mwanamke, yaani the one and only ambaye ama anatakiwa na YEYE apumzike ampishe Mwinyi ama ...
Japo sio sio lazima kusema kila unachosikia, kwa sababu sometimes sio kila unachosikia from within ni sauti kutoka kwa Mungu au ni maono, sauti nyingine ni sauti za shetani tuu na sio sauti za Mungu, kama zilivyo ndoto nyingine, ni ndoto za shetani kama ile "ndoto ya Lema", ukisikia sauti ukahisi inaweza isiwe sauti ya Mungu, au ukiota ndoto ya jambo la ajabu ajabu ukahisi jambo hilo sio la kheri, sio lazima uliseme). Mfano ni tangu August 14, 2014 nilielezwa rais ajaye wa Tanzania ni Magufuli, na nilielezwa sababu kwanini ni Magufuli, nami nikaeleza humu lakini sikuzisema.
Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Wanabodi, Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama kada tuu wa kawaida wa Chama cha Mapinduzi-CCM, akanieleza seriously habari za kushtusha kidogo ambazo mimi zimenitisha...www.jamiiforums.com
Hiyo 2014 wakati mimi nikisema mgombea wa CCM kwa 2015 ni Magufuli, wakati huo unaweza kukuta hata JPM mwenyewe alikuwa hajui kuwa ndiye yeye.
Hivyo hata sauti hii niliyoisikia leo, 2022, kuhusu 2025, usikute hata Samia mwenyewe hajui, na kwasababu ni Rais Samia aliyependekeza 2025 twende na mgombea mwanamke, unaweza kuta ni Samia anajipanga kuendelea, huku Dr. Mwinyi akiji set kwa his second term in Zanzibar, wala hahui kuwa yeye ndiye rais wa JMT, 2025.
Hata ile siku niliyoisikia sauti hii
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... Spika Job Ndugai hakujua hatakuwa Spika, wala Dr. Tulia hakujua kuwa yeye ndiye spika ajae.
Hata ile siku namzungumzia huyu DC, Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam DC mwenyewe alikuwa hajui, na watu humu wakanidhania mimi ni mtu wa kule naniliu na kudhani nimeleta za jikoni.
Hili sasa ni langu, hili la Mwinyi kuja huku, usikute ni mpango ya YEYE, kumfanya huyu jamaa Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
Hata wakati nikiandika hayo, Dr. Shein alikuwa hajui, hivyo saa hizi, usikute huyu jamaa wala hajajijua yeye ndiye rais ajaye wa Zanzibar
Hitimisho
Kwa vile mimi ni Msukuma, naweza kutuhumiwa ni sehemu ya Sukuma Gang wasiotaka Samia aendelee 2025 to 2030. Naomba kwanza niwathibitishie I don't believe hiki kitu kinachoitwa Sukuma Gang kina exist. Mimi ni Msukuma na sio Sukuma Gang, ila pia ni Mimi ndio nilimtabiria Samia urais wa JMT toka 2017, Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020
nikashauri Blaza asigombee 2020 ampishe Samia, but no one takes me seriously, you never know, kama JPM angeusikiliza ushauri wa bandiko hili Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” nilishauri
probably ange...
Mwaka 2020 nikasema humu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
nilisema
Hivyo it's up to Mama, kuna kitu nimeambia ni kwa nini Mama amuombe Mwinyi, ila sio lazima kusema kila kitu. Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
Hivyo mpaka umelisikia hili nimelisema, ujue lina maslahi kwa Taifa.
Kitu muhimu ni nimesikia sauti, nimesema nilichosikia, nimetimiza wajibu wangu.
Paskali
(Mzee wa The Voices Within)
Mchango very objective
Mkuu idawa , kwanza asante sana kwa mchango wako na uwezo wako wa kunisoma in between the lines, ila naomba nikuhakikishie, it's not my making, it's the voices from within!.
Sikukisema vyote nilivyo ambiwa, na hiyo sauti labda nikivisema vyote itasaidia kwa kuvi mitigate kabla ya 2025 ili Mama aendelee.
Kinachonifanya nisiseme kila kitu ni kwasababu kauli nyingine huumba!. Nisije nikasema humu, halafu yakatokea ya kutokea tukaaanza kunyoosheana vidole!.
Hata mimi kujiunga JF nikauli za wana JF
ile 2008 nikiwa naendesha bike Morogoro Rd mitaa ya Manzese, kuna mwana JF akanianzishia uzi kuhusu uendeshaji wangu wa bike.
Kilichofuata hata wiki haikupita... mimi chali!. Uzi ule wa kwanza ukafutwa na kupandishwa huu
Pascal Mayalla apata ajali..... na ndipo nami nikatua rasmi humu JF na baada ya mwaka nikatoa shukrani
Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!
from then mimi ni mtu makini sana
Wito Kwa Watanzania:Tuitumie Nguvu ya Kauli, Kumuingiza Ikulu Kiongozi Tunayemtaka!. Mdomo Huumba!.
Wanabodi, Jumapili ya leo. nimepata tena fursa ya kuwahamasisha Watanzania, tujitokeze kwa wingi kupiga kura. Mada yangu ya leo ni nguvu ya kauli za ushindi!. Kuna msemo, kuwa mdomo huumba, au kauli huumba!. Kitu chenye nguvu kuliko kitu kingine chochote hapa duniani, ni nguvu ya nia, "will...www.jamiiforums.com
Tanzania tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!
Wanabodi, Declaration of interest. Mimi ni mwandishi wa kujitegemea, kule newsroom tunaitwa freelance lakini sasa wanatuita wapiga dili za habari!, na kufuatia ukame wa habari, tumepigika kweli kweli hadi tunatunga habari za mayalla (njaa)!. Kufuatia kupigika sana Januari hii, Usingizi...www.jamiiforums.com
Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
Wanabodi, Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwanyooshea vidole wenzao na kuwahukumu pasipo uthibitisho, kila kunapotokea tukio baya, na kuwaombea wenzao majanga ikiwemo kuwaombea vifo, au kuwatabiria kifo...www.jamiiforums.com
P
Upo kimya sana kule kwenye e-mails. Kuna shida pahala?Ndio raha ya uhuru wa jukwaa la Maxence
Asante umebarikiwa kuwa na mungu asiyetaka mambo ya uchaguzi wa rais nchini Tanzania, huenda huyo mungu wako aliona wewe na kundi lako mmezoea kupiga vikumbo kura za wananchi.Wanabodi

Hadi HAKI itakapotawala.Tutaendelea kuwa hivi mpaka lini?
Mama akiondoka utakosa posho za safari.Kwa hiyo umejimilikisha utabiri? Sawa Sheikh Yahya. Ila kwa nini sauti ikuambie kwamba amuombe Dr Mwinyi na wala siyo Majalliwa au Mayalla? Mama yupo na ataendelea kuwepo. Naona mumeanza kutaka kumchokoza ili akasirike; Mama usikasirike, chapa kazi.
2025 ni mbaal mno, Kwa mfano Nan aweza kutabiri Bei za mafuta kufika December 2022, tutanunua petrol Kwa sh ngap?? Busara itumimike mapema!!!!Paskali mzee wa voices from within or ancestral umekuwa unatabiri mambo mengi na kugeuka ukweli. Mi nakuunga mkono lakini sababu zangu zinatokana na Mrumishi mmoja wa mungu kutoka Zimbabwe Dr Ian Ndlovu mtafuteni you tube msikilize prophecy zake kuhusu Namba wani.
Lakini kwa mtazamo wangu usemi wako wa ampishe Mwinyi halafu yeye aje agombee baadae sidhani kama itawezekana. Ukimsikiliza mtumishi huyu wa mungu anasema mheshimiwa kuna makosa ya kiutendaji atayafanya na asipokuwa mwangalifu qoute " People from within her party will try to remover her. Binafsi naona suala la Kupanda gharama za mafuta na maisha kwa ujumla halipewi uzito unaostahili na wahusika, Nafikiri pia issue iliyomngoa Ndugai na hawa wanaomsagia kunguni mwendazake kila kukicha kwenye majukwaa mbalimbali ikiwemo humu online hawana siha kwenye mustakabali kwa wananchi.
Binafsi napenda raisi wangu aendelee kutuongoza na mola amlinde na ampe hekima,akili zaidi na busara za kutatua changamoto zinazotukabiki wananchi moja kwa moja na si kutegemea mawaziri wakae vikao ndio waje watende. Na naamini Mama atatupa mkeka wa katiba mpya 2026 na hiyo itawaumiza zaidi wale chawa wa chama chake wasiojua kuwajibika,Kazi iendelee mama mpaka 2035.
Mambo ya Nchi ni magumu Sana ni zaidi ya tujuavyo,wachache Sana wanajua na wengi wetu tunaenda kwa mkumbo.Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya ni long term planed na Kuna watu walizaliwa waje watawale kwa Sababu unabii uko hivo na Kila mtawala anaekuja Kuna kazi yake anakuja kuifanya.Mkuu Babe la mji , kweli madaraka ni matamu, ila haya mambo ya sauti sii yetu ni over and above us hivyo kuyasema ndiko kusaidia kwenyewe.
Kama JPM angejua he is a one term president kuna mambo angefanya vizuri zaidi kuliko alivyofanya. Kwa mujibu wa katiba yetu, urais wa JMT ni 5 year term with possibility to extend to a second term but not necessarily, ndio maana hata mimi ninasupport kabisa Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
ila unaposikia sauti fulani, sema ulichosikia, ili wenye masikio wasikie
P
Mkuu elvischirwa , asante for this, nimezipenda hii ya mungu na Mungu.Asante umebarikiwa kuwa na mungu huenda huyo mungu wako aliona wewe na kundi lako wenzetu walimpata Mungu
Napita kwa uchungu Paskal.Mwinyi hawezi kuwa Rais wa nchi mbili tofauti, kashakuwa Rais Zanzibar...Hawezi kuwa Rais wa Tanganyika.
Ila baba yake aliweza kuwa Rais wa Zanzibar alafu baadae akawa TanganyikaMwinyi hawezi kuwa Rais wa nchi mbili tofauti, kashakuwa Rais Zanzibar...Hawezi kuwa Rais wa Tanganyika.
Asante, ila unisamehe kama nimekukwaza.Mkuu elvischirwa , asante for this, nimezipenda hii ya mungu na Mungu.
P