Ivi kwa mfano samia anaweza mfanya mwinyi wa zanzibar kuwa makamu wake ili hali bado ni rais wa zanzibar nikimaanisha anakuwa makamu bara na rais zanzibar kwa wakati mmoja ni swali tu nataka kufahamu?
P pamoja kwamba wewe ni mtu wa mfumo vipi huogopi kuleta mada kama hizi maana madaraka ni matamu Sana na unaowaambia hicho kitu unadhani wanafurahi ingawa ni Cha kweli?Je hawawezi kuunganisha dots na wewe kujikuta unakua kwenye hatari ?

Mkuu cabo , asante sana kwa swali hili, japo linaonekana kama ni swali lakijinga sana kwa sababu inatarajiwa kila Mtanzania ni lazima aijue katiba, the basics, kuwa rais akitokea upande mmoja wa muungano, VP ni lazima atoke upande mwingine. Samia ni rais kutoka Zanzibar hawezi kumteua Dr Mwinyi kuwa VP.
Ila tulipo ungana, Rais wa Zanzibar ndie VP wa kwanza, halafu PM ndie VP wa pili. Samia akiamua kumrudishia hadhi rais wa Zanzibar kwenye hii setup ya muungano, anaweza. Kwa sasa ndani ya set up ya muungano, rais wa Zanzibar is nothing,ni nobody!. Anaelezwa kuwa atateuliwa na Rais wa JMT kuwa Waziri asiye na Wizara maalum ili tuu aweze kuhudhuria cabinet meetings lakini ndani ya setup ya muungano rais wa Zanzibar is nobody!, na mpaka hapa ninapoandika, katiba ya JMT haitambui GNU, wala wale Makamo wawili wa kule, ila tuu wanatambulika ki protokali kwa heshima tuu. Hivyo sasa maadam Rais wa JMT ni kutoka Zanzibar, huu sasa ndio wakati muafaka kwa hadhi ya Zanzibar ndani ya muungano iwe restored, Katiba ya JMT iitambue katiba ya Zanzibar na ku ya adopt mabadiliko yake. Rais wa Zanzibar awe restored kuwa VP etc etc.
P
P pamoja kwamba wewe ni mtu wa mfumo vipi huogopi kuleta mada kama hizi maana madaraka ni matamu Sana na unaowaambia hicho kitu unadhani wanafurahi ingawa ni Cha kweli?Je hawawezi kuunganisha dots na wewe kujikuta unakua kwenye hatari ?
Kwahiyo waisilamu hawakosei au ukiwa muislamu huoni ujinga unafanyika!?
Waislamu kama wewe ni majuha mwanzo mwisho, huko mitaani wanao
mpinga kuhusu tozo, mafuta, umeme nao ni wakristo tu!?
Ajuza umezeeka vibaya.
Wale waislamu waliotolewa madarakani egypt, tunisia na nchi za mashariki ya kati
walitolewa na wakristo!?
Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.
Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading, ni unasikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila kuambiwa sababu na huwezi kuuliza, hivyo nami naomba kuwaeleza tuu sauti niliosikia na naomba msiniulize kitu kwasababu sio mimi ni sauti
Leo nilikuwa naandika bandiko fulani humu JF, ndipo ghafla nikaisikia sauti (voices from within) kuwa Rais wa JMT kwa 2025 should be Dr. Hussein Mwinyi kwa kipindi kimoja, then 2030 ndipo tuje na mgombea mwanamke!.
Sauti hiyo inamaanisha inamtaka Rais Samia awe ni Rais wa JMT kwa kipindi kimoja tuu hadi 2025. Sauti hiyo ikasema ni Rais Samia mwenyewe willingly anatakiwa kumuomba Dr. Hussein Mwinyi, 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu ya pili ya Samia, kwa awamu moja tuu,.
Na kipindi hicho cha 2025- 2030 ndio sasa sasa tufanye grooming ya Mwanamke atakagombea urais wa JMT kwa 2030.
Japo sio sio lazima kusema kila unachosikia, kwa sababu sometimes sio kila unachosikia from within ni sauti kutoka kwa Mungu au ni maono, sauti nyingine ni sauti za shetani tuu na sio sauti za Mungu, kama zilivyo ndoto nyingine, ni ndoto za shetani kama ile "ndoto ya Lema", ukisikia sauti ukahisi inaweza isiwe sauti ya Mungu, au ukiota ndoto ya jambo la ajabu ajabu ukahisi jambo hilo sio la kheri, sio lazima uliseme). Mfano ni tangu August 14, 2014 nilielezwa rais ajaye wa Tanzania ni Magufuli, na nilielezwa sababu kwanini ni Magufuli, nami nikaeleza humu lakini sikuzisema.
Wanabodi, Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama kada tuu wa kawaida wa Chama cha Mapinduzi-CCM, akanieleza seriously habari za kushtusha kidogo ambazo mimi zimenitisha...
www.jamiiforums.com
Hiyo 2014 wakati mimi nikisema mgombea wa CCM kwa 2015 ni Magufuli, wakati huo unaweza kukuta hata JPM mwenyewe alikuwa hajui kuwa ndiye yeye.
Hivyo hata sauti hii niliyoisikia leo, 2022, kuhusu 2025, usikute hata Samia mwenyewe hajui, na kwasababu ni Rais Samia aliyependekeza 2025 twende na mgombea mwanamke, unaweza kuta ni Samia anajipanga kuendelea, huku Dr. Mwinyi akiji set kwa his second term in Zanzibar, wala hahui kuwa yeye ndiye rais wa JMT, 2025.
Kitu muhimu ni nimesikia sauti, nimesema nilichosikia, nimetimiza wajibu wangu.
Paskali
(Mzee wa The Voices Within)
Mchango very objective
Mkuu idawa , kwanza asante sana kwa mchango wako na uwezo wako wa kunisoma in between the lines, ila naomba nikuhakikishie, it's not my making, it's the voices from within!.
Sikukisema vyote nilivyo ambiwa, na hiyo sauti labda nikivisema vyote itasaidia kwa kuvi mitigate kabla ya 2025 ili Mama aendelee.
Kinachonifanya nisiseme kila kitu ni kwasababu kauli nyingine huumba!. Nisije nikasema humu, halafu yakatokea ya kutokea tukaaanza kunyoosheana vidole!.
Hata mimi kujiunga JF nikauli za wana JF
ile 2008 nikiwa naendesha bike Morogoro Rd mitaa ya Manzese, kuna mwana JF akanianzishia uzi kuhusu uendeshaji wangu wa bike.
Wanabodi, Jumapili ya leo. nimepata tena fursa ya kuwahamasisha Watanzania, tujitokeze kwa wingi kupiga kura. Mada yangu ya leo ni nguvu ya kauli za ushindi!. Kuna msemo, kuwa mdomo huumba, au kauli huumba!. Kitu chenye nguvu kuliko kitu kingine chochote hapa duniani, ni nguvu ya nia, "will...
Wanabodi, Declaration of interest. Mimi ni mwandishi wa kujitegemea, kule newsroom tunaitwa freelance lakini sasa wanatuita wapiga dili za habari!, na kufuatia ukame wa habari, tumepigika kweli kweli hadi tunatunga habari za mayalla (njaa)!. Kufuatia kupigika sana Januari hii, Usingizi...
Wanabodi, Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwanyooshea vidole wenzao na kuwahukumu pasipo uthibitisho, kila kunapotokea tukio baya, na kuwaombea wenzao majanga ikiwemo kuwaombea vifo, au kuwatabiria kifo...

Asante umebarikiwa kuwa na mungu asiyetaka mambo ya uchaguzi wa rais nchini Tanzania, huenda huyo mungu wako aliona wewe na kundi lako mmezoea kupiga vikumbo kura za wananchi.
Hongera endeleeni kugawana urais huku sisi tukiambulia umasikini uliokithiri, wenzetu walimpata Mungu anayewapa mawazo ya kuitoa nchi kwenye ufukara iwe na nuru nyie mnawaza kupeana urais miaka nenda miaka rudi mkiujenga umasikini.
Kwa hiyo umejimilikisha utabiri? Sawa Sheikh Yahya. Ila kwa nini sauti ikuambie kwamba amuombe Dr Mwinyi na wala siyo Majalliwa au Mayalla? Mama yupo na ataendelea kuwepo. Naona mumeanza kutaka kumchokoza ili akasirike; Mama usikasirike, chapa kazi.
Paskali mzee wa voices from within or ancestral umekuwa unatabiri mambo mengi na kugeuka ukweli. Mi nakuunga mkono lakini sababu zangu zinatokana na Mrumishi mmoja wa mungu kutoka Zimbabwe Dr Ian Ndlovu mtafuteni you tube msikilize prophecy zake kuhusu Namba wani.
Lakini kwa mtazamo wangu usemi wako wa ampishe Mwinyi halafu yeye aje agombee baadae sidhani kama itawezekana. Ukimsikiliza mtumishi huyu wa mungu anasema mheshimiwa kuna makosa ya kiutendaji atayafanya na asipokuwa mwangalifu qoute " People from within her party will try to remover her. Binafsi naona suala la Kupanda gharama za mafuta na maisha kwa ujumla halipewi uzito unaostahili na wahusika, Nafikiri pia issue iliyomngoa Ndugai na hawa wanaomsagia kunguni mwendazake kila kukicha kwenye majukwaa mbalimbali ikiwemo humu online hawana siha kwenye mustakabali kwa wananchi.
Binafsi napenda raisi wangu aendelee kutuongoza na mola amlinde na ampe hekima,akili zaidi na busara za kutatua changamoto zinazotukabiki wananchi moja kwa moja na si kutegemea mawaziri wakae vikao ndio waje watende. Na naamini Mama atatupa mkeka wa katiba mpya 2026 na hiyo itawaumiza zaidi wale chawa wa chama chake wasiojua kuwajibika,Kazi iendelee mama mpaka 2035.
Mambo ya Nchi ni magumu Sana ni zaidi ya tujuavyo,wachache Sana wanajua na wengi wetu tunaenda kwa mkumbo.Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya ni long term planed na Kuna watu walizaliwa waje watawale kwa Sababu unabii uko hivo na Kila mtawala anaekuja Kuna kazi yake anakuja kuifanya.
Kiunabii wa utawala wa Tanzania baada ya Nchi kutoka gizani ambapo tupo Sasa hivi inaonyesha huyu ajae ndo ataleta mwanga manake Kila kitu kizuri kwa ajili ya nchi hii huyu ndo atakua mtengenezaji wa mifumo yote ili hatiamae chi isimame kwa ajili ya maendeleo.
Ilishapangwa hivo na itakua na hakuna mtu wa kupinga Hilo .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.