Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 920
- 994
Watakuparuraa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ally Hassan Mwinyi aliwahi kuwa Rais wa Zanzibar Kisha akawa Rais wa jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwinyi hawezi kuwa Rais wa nchi mbili tofauti, kashakuwa Rais Zanzibar...Hawezi kuwa Rais wa Tanganyika.
Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho...
🤣🤣🤣 Ile ndoto ya lemma! Ipi hiyo?Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho...
Mimi naona hiyo 2025 Hussein Mwinyi angekuja kugombea Tanganyika! Halafu huyu mama aende akagombee Zanzibar, au apumzike na kuwapisha wengine.Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho...
Hayo wamepanga wenye mamlaka yatokee bt tetemeko ndo litabadili maamuzi hayo Ili akabidhiwe Freshd. Ni Rahisi kusema hakutakuwa na uchaguzi 2025 maana muda wa KATIBA mpya umefika. Mwenye mamlaka Kutoka JUU anakitaka kiti. Utawala wa kuchaguana sijauona. Same msg imesemwa na manabii zaidi ya watatu hivyo UMETHIBITIKA.Naona fukuto linaendelea ,mpaka Pascal ametumwa kutaka kusikia upepo ukoje.Mambo yanazid kuwa moto.Mm nafikiri katiba mpya ndio suluhisho.
Mwinyi hawezi kuwa Rais wa nchi mbili tofauti, kashakuwa Rais Zanzibar...Hawezi kuwa Rais wa Tanganyika.
Mwinyi hawezi kuwa Rais wa nchi mbili tofauti, kashakuwa Rais Zanzibar...Hawezi kuwa Rais wa Tanganyika.
mimi 2025 naona mbali sana,ingekua sasa kama inawezekana kuliko kusubili uhalibifu mkubwa kwa taifa,this madame failed totally leadership of, as head of stateWanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho...
Imepita hiyo Paskali(Mzee wa TVW)Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho...
Hapana anaweza kuwa kwa Sababu hata babake alishawai kuwa Rais wa Zanzibar na badae TanzaniaMwinyi hawezi kuwa Rais wa nchi mbili tofauti, kashakuwa Rais Zanzibar...Hawezi kuwa Rais wa Tanganyika.
Mayala..., Mzee wa kupiga manyanga na tawile kwa kwenda mbele kashaanza yake....! Ila kiuhalisia Kuna kitu umekizoom sehemu au umepenyezewa kinachokuja kutokea...! Anyway,...Ngoja tusibiri tu