Poa. Tushajua unalinda kupigania maslahi ya familia sijui mama yako dada yako na sio Taifa mama. Watu wanajadili nchi wewe unajadili undugu udada na ufamilia
Huna elimu ya nafsi (phsychology) wewe zaidi ya Muislam. Kumbuka hilo, hu,muwezi hata aliyemaliza juzuu ya kwanza tu.
Kwa maandiko yake, niliyomueleza ndiyo ukwlei. Hiyo "voice within" ndio "schizophrenia", ushahidi huu hapa, kajisomee: Schizophrenia - Symptoms and causes
Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.
Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading, ni unasikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila kuambiwa sababu na huwezi kuuliza, hivyo nami naomba kuwaeleza tuu sauti niliosikia na naomba msiniulize kitu kwasababu sio mimi ni sauti
Leo nilikuwa naandika bandiko fulani humu JF, ndipo ghafla nikaisikia sauti (voices from within) kuwa Rais wa JMT kwa 2025 should be Dr. Hussein Mwinyi kwa kipindi kimoja, then 2030 ndipo tuje na mgombea mwanamke!.
Sauti hiyo inamaanisha inamtaka Rais Samia awe ni Rais wa JMT kwa kipindi kimoja tuu hadi 2025. Sauti hiyo ikasema ni Rais Samia mwenyewe willingly anatakiwa kumuomba Dr. Hussein Mwinyi, 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu ya pili ya Samia, kwa awamu moja tuu,.
Na kipindi hicho cha 2025- 2030 ndio sasa sasa tufanye grooming ya Mwanamke atakagombea urais wa JMT kwa 2030.
Japo sio sio lazima kusema kila unachosikia, kwa sababu sometimes sio kila unachosikia from within ni sauti kutoka kwa Mungu au ni maono, sauti nyingine ni sauti za shetani tuu na sio sauti za Mungu, kama zilivyo ndoto nyingine, ni ndoto za shetani kama ile "ndoto ya Lema", ukisikia sauti ukahisi inaweza isiwe sauti ya Mungu, au ukiota ndoto ya jambo la ajabu ajabu ukahisi jambo hilo sio la kheri, sio lazima uliseme). Mfano ni tangu August 14, 2014 nilielezwa rais ajaye wa Tanzania ni Magufuli, na nilielezwa sababu kwanini ni Magufuli, nami nikaeleza humu lakini sikuzisema.
Wanabodi, Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama kada tuu wa kawaida wa Chama cha Mapinduzi-CCM, akanieleza seriously habari za kushtusha kidogo ambazo mimi zimenitisha...
www.jamiiforums.com
Hiyo 2014 wakati mimi nikisema mgombea wa CCM kwa 2015 ni Magufuli, wakati huo unaweza kukuta hata JPM mwenyewe alikuwa hajui kuwa ndiye yeye.
Hivyo hata sauti hii niliyoisikia leo, 2022, kuhusu 2025, usikute hata Samia mwenyewe hajui, na kwasababu ni Rais Samia aliyependekeza 2025 twende na mgombea mwanamke, unaweza kuta ni Samia anajipanga kuendelea, huku Dr. Mwinyi akiji set kwa his second term in Zanzibar, wala hahui kuwa yeye ndiye rais wa JMT, 2025.
Kama kwa "udini" unamaanisha Uislam basi elewa kuwa hilo sitaliacha mpaka niingie kaburini.
Kaitazame "Royal tour", mwenyewe kaonesha nyumbani kwao na alipolelewa na msikiti na madrassa aliyosoma ipo hapo hapo kwao, hapo alisema ndiyo palipomjengea maadili.
Utaacha wapi kuusifia Uislam kwani ndiyo uliomfundisha nidhamu na maadili, unafikiri maadili yanafundishwa shule za secular? Au shule za Kikaristo? Ambako mapadri wamejazana mashoga, kuna kufundishana maadili mema huko?
Rais wa Ufilipino Duterte kayasema hayo, si mimi, unataka ushahidi sema nikuwekee.
Sauti hiyo inamaanisha inamtaka Rais Samia awe ni Rais wa JMT kwa kipindi kimoja tuu hadi 2025. Sauti hiyo ikasema ni Rais Samia mwenyewe willingly anatakiwa kumuomba Dr. Hussein Mwinyi, 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu ya pili ya Samia, kwa awamu moja tuu,.
Na kipindi hicho cha 2025- 2030 ndio sasa sasa tufanye grooming ya Mwanamke atakagombea urais wa JMT kwa 2030.
Samia alishasema atagombea mwaka 2025, ndio maana wale waandishi kwenye lile gazeti la Uhuru waliomlisha maneno walichukuliwa hatua. zitto juniorTUJITEGEMEE JokaKuu
Punguza hasira mamaaa,watu waliomo jikoni washaona mbali mnaenda kuangukia kwenye shimo la moto na huyo mama yenu,na wameshaona Huyo mwinyi JR ndo apite hapo Katikati ya mstari mwembamba.
Halafu Kwani hujui kama kweli ulofanya comparison unaona nani anafaa kuja huku KWA tunaoitwa machogo!!!
Tatzo KWA Sasa mnakwara sana,yani ni mwendo wa "CHUKUA CHAKO MAPEMA"
maana bomu la 2025 habaki mtu na huyo mama yenu
Mimi nasalisha nyumbani kwangu kila siku. Na si wa kipekee, tupo wengi sana Au unamaanisha nini zaidi kwa UImam na Uimam?
Au unataka mwanamke akswalishe msikitini, Akisujudu msambwanda awaachie wanaoswali kaubinua Ng'weee? Kutakuwa na swalat hapo kwenye marijali. Usifanye mzaha na Uislam, haujaacha kitu. Mwanamke anachokatazwa ni kuswali mbele ya wanaume, anaweza kuswa nyuma ya wanaume. Na anaweza kuswalisha kama Imama kwa wanawake wenzake na watoto ambao hawajabalee, iwe wanawake au wanaume. Hakuna katazo hapo
Lakini kama unamaanisha Uimama ni uongozi, basi hilo hakuna lilipokatazwa.
Hayo malumbano unayoyasema ndiyo usomi huo. Ukikuta wawili au zaidi wanabishana, wewe chukuwa yote halafu changanya na yako, usingoje kuburuzwa tu kwa kuwa kuna watu wanakuwa wasemaji wazuri, wana vipaji na mvuto wa kuongea, wanaweza kukuamnisha chochote wapendacho, hata ambayo hayatendeki. Kama Nyerere, alikuwa msemaji mzuri sana, lakini nchi ikawa masikini wa mwisho duniani, na kila atachosema utaamini hiki ndicho chenyewe, kumbe porojo tu nyingi.
Umeongea mambo meeengi ambayo hayana uhusiano na nilichokuuliza
Ila kikubwa ulichokiri hapa pengine kwa kujua ama kutokujua ni kwamba Mwanamke anaweza kuongoza Wanawake wenzake ama watoto tu na si vinginevyo.... (sasa kipi kikushangazacho kuhusu WASUKUMA kukaataa kuongozwa na wanawake?)
Hoja yako kuhusu MISAMBWANDA naona haina mashiko ukizingatia,
M/Mungu aliyeumba wanawake na MISAMBWANDA yao na wanaume na TAMAA zao aliyajua yote hayo hata kabla ya yote
sasa iweje iogopwe wanawake kuongoza sala mbele ya wanaume eti kisa MISAMBWANDA?
Kama kwa "udini" unamaanisha Uislam basi elewa kuwa hilo sitaliacha mpaka niingie kaburini.
Kaitazame "Royal tour", mwenyewe kaonesha nyumbani kwao na alipolelewa na msikiti na madrassa aliyosoma ipo hapo hapo kwao, hapo alisema ndiyo palipomjengea maadili.
Utaacha wapi kuusifia Uislam kwani ndiyo uliomfundisha nidhamu na maadili, unafikiri maadili yanafundishwa shule za secular? Au shule za Kikaristo? Ambako mapadri wamejazana mashoga, kuna kufundishana maadili mema huko?
Rais wa Ufilipino Duterte kayasema hayo, si mimi, unataka ushahidi sema nikuwekee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.