Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.

Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading, ni unasikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila kuambiwa sababu na huwezi kuuliza, hivyo nami naomba kuwaeleza tuu sauti niliosikia na naomba msiniulize kitu kwasababu sio mimi ni sauti

Leo nilikuwa naandika bandiko fulani humu JF, ndipo ghafla nikaisikia sauti (voices from within) kuwa Rais wa JMT kwa 2025 should be Dr. Hussein Mwinyi kwa kipindi kimoja, then 2030 ndipo tuje na mgombea mwanamke!.

Sauti hiyo inamaanisha inamtaka Rais Samia awe ni Rais wa JMT kwa kipindi kimoja tuu hadi 2025. Sauti hiyo ikasema ni Rais Samia mwenyewe willingly anatakiwa kumuomba Dr. Hussein Mwinyi, 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu ya pili ya Samia, kwa awamu moja tuu,.

Na kipindi hicho cha 2025- 2030 ndio sasa sasa tufanye grooming ya Mwanamke atakagombea urais wa JMT kwa 2030.

Japo Tanzania, tulipania 2025 twende na mgombea mwanamke, na mimi niliunga mkono hoja hii Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
kama hii sauti ni yake YEYE kweli, then unamaanisha kwa uchaguzi wa 2025, Tanzania tuna mgombea mmoja tuu Mwanamke, yaani the one and only ambaye ama anatakiwa na YEYE apumzike ampishe Mwinyi ama ...

Japo sio sio lazima kusema kila unachosikia, kwa sababu sometimes sio kila unachosikia from within ni sauti kutoka kwa Mungu au ni maono, sauti nyingine ni sauti za shetani tuu na sio sauti za Mungu, kama zilivyo ndoto nyingine, ni ndoto za shetani kama ile "ndoto ya Lema", ukisikia sauti ukahisi inaweza isiwe sauti ya Mungu, au ukiota ndoto ya jambo la ajabu ajabu ukahisi jambo hilo sio la kheri, sio lazima uliseme). Mfano ni tangu August 14, 2014 nilielezwa rais ajaye wa Tanzania ni Magufuli, na nilielezwa sababu kwanini ni Magufuli, nami nikaeleza humu lakini sikuzisema.

Hiyo 2014 wakati mimi nikisema mgombea wa CCM kwa 2015 ni Magufuli, wakati huo unaweza kukuta hata JPM mwenyewe alikuwa hajui kuwa ndiye yeye.

Hivyo hata sauti hii niliyoisikia leo, 2022, kuhusu 2025, usikute hata Samia mwenyewe hajui, na kwasababu ni Rais Samia aliyependekeza 2025 twende na mgombea mwanamke, unaweza kuta ni Samia anajipanga kuendelea, huku Dr. Mwinyi akiji set kwa his second term in Zanzibar, wala hahui kuwa yeye ndiye rais wa JMT, 2025.

Hata ile siku niliyoisikia sauti hii
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... Spika Job Ndugai hakujua hatakuwa Spika, wala Dr. Tulia hakujua kuwa yeye ndiye spika ajae.

Hata ile siku namzungumzia huyu DC, Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam DC mwenyewe alikuwa hajui, na watu humu wakanidhania mimi ni mtu wa kule naniliu na kudhani nimeleta za jikoni.

Hili sasa ni langu, hili la Mwinyi kuja huku, usikute ni mpango ya YEYE, kumfanya huyu jamaa Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
Hata wakati nikiandika hayo, Dr. Shein alikuwa hajui, hivyo saa hizi, usikute huyu jamaa wala hajajijua yeye ndiye rais ajaye wa Zanzibar

Hitimisho
Kwa vile mimi ni Msukuma, naweza kutuhumiwa ni sehemu ya Sukuma Gang wasiotaka Samia aendelee 2025 to 2030. Naomba kwanza niwathibitishie I don't believe hiki kitu kinachoitwa Sukuma Gang kina exist. Mimi ni Msukuma na sio Sukuma Gang, ila pia ni Mimi ndio nilimtabiria Samia urais wa JMT toka 2017, Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020
nikashauri Blaza asigombee 2020 ampishe Samia, but no one takes me seriously, you never know, kama JPM angeusikiliza ushauri wa bandiko hili Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” nilishauri

probably ange...
Mwaka 2020 nikasema humu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
nilisema

Hivyo it's up to Mama, kuna kitu nimeambia ni kwa nini Mama amuombe Mwinyi, ila sio lazima kusema kila kitu. Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
Hivyo mpaka umelisikia hili nimelisema, ujue lina maslahi kwa Taifa.

Kitu muhimu ni nimesikia sauti, nimesema nilichosikia, nimetimiza wajibu wangu.

Paskali
(Mzee wa The Voices Within)
Dr Hussein Mwinyi ni mzigo tu, labda hukafuatilia approval yake miongoni mwa Wazanzibari. Kwanza asungekuwa Magufuli ZNZ ingekuwa na Rais mwingine.

Mwinyi ana sera ya uchumi wa Bluu, lakini naamini hata mwenyewe haufahamu uchumi huo. Sanasana labda kuuza visiwa vidogo vidogo kwa wawekezaji
 
Msapoti kwa Uongozi mzuri siyo kwa udini,ni lini utaacha kuhubiri udini.Kama vipi ukaombe uraia Saudia
Kama kwa "udini" unamaanisha Uislam basi elewa kuwa hilo sitaliacha mpaka niingie kaburini.

Kaitazame "Royal tour", mwenyewe kaonesha nyumbani kwao na alipolelewa na msikiti na madrassa aliyosoma ipo hapo hapo kwao, hapo alisema ndiyo palipomjengea maadili.


Utaacha wapi kuusifia Uislam kwani ndiyo uliomfundisha nidhamu na maadili, unafikiri maadili yanafundishwa shule za secular? Au shule za Kikaristo? Ambako mapadri wamejazana mashoga, kuna kufundishana maadili mema huko?


Rais wa Ufilipino Duterte kayasema hayo, si mimi, unataka ushahidi sema nikuwekee.
 
Sauti hiyo inamaanisha inamtaka Rais Samia awe ni Rais wa JMT kwa kipindi kimoja tuu hadi 2025. Sauti hiyo ikasema ni Rais Samia mwenyewe willingly anatakiwa kumuomba Dr. Hussein Mwinyi, 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu ya pili ya Samia, kwa awamu moja tuu,.

Na kipindi hicho cha 2025- 2030 ndio sasa sasa tufanye grooming ya Mwanamke atakagombea urais wa JMT kwa 2030.
Samia alishasema atagombea mwaka 2025, ndio maana wale waandishi kwenye lile gazeti la Uhuru waliomlisha maneno walichukuliwa hatua.
zitto junior TUJITEGEMEE
JokaKuu
 
Punguza hasira mamaaa,watu waliomo jikoni washaona mbali mnaenda kuangukia kwenye shimo la moto na huyo mama yenu,na wameshaona Huyo mwinyi JR ndo apite hapo Katikati ya mstari mwembamba.

Halafu Kwani hujui kama kweli ulofanya comparison unaona nani anafaa kuja huku KWA tunaoitwa machogo!!!


Tatzo KWA Sasa mnakwara sana,yani ni mwendo wa "CHUKUA CHAKO MAPEMA"
maana bomu la 2025 habaki mtu na huyo mama yenu
Kuna moto tuliouangukia zaidi ya Mungu alipotuokoa?

Team ya mama anayoipanga ndiyo inawaudhi wapendwa wa bwana yule. Hawana namna ya kutoa joto lao tu, wanakuja eti sauti.

Kazi ya Mungu haina makosa.
 
Dr Hussein Mwinyi ni mzigo tu, labda hukafuatilia approval yake miongoni mwa Wazanzibari. Kwanza asungekuwa Magufuli ZNZ ingekuwa na Rais mwingine.

Mwinyi ana sera ya uchumi wa Bluu, lakini naamini hata mwenyewe haufahamu uchumi huo. Sanasana labda kuuza visiwa vidogo vidogo kwa wawekezaji
Wewe unaeufahamu ushaufanyia nini. Punguani wahed.
 
Mimi nasalisha nyumbani kwangu kila siku. Na si wa kipekee, tupo wengi sana Au unamaanisha nini zaidi kwa UImam na Uimam?

Au unataka mwanamke akswalishe msikitini, Akisujudu msambwanda awaachie wanaoswali kaubinua Ng'weee? Kutakuwa na swalat hapo kwenye marijali. Usifanye mzaha na Uislam, haujaacha kitu. Mwanamke anachokatazwa ni kuswali mbele ya wanaume, anaweza kuswa nyuma ya wanaume. Na anaweza kuswalisha kama Imama kwa wanawake wenzake na watoto ambao hawajabalee, iwe wanawake au wanaume. Hakuna katazo hapo

Lakini kama unamaanisha Uimama ni uongozi, basi hilo hakuna lilipokatazwa.

Hayo malumbano unayoyasema ndiyo usomi huo. Ukikuta wawili au zaidi wanabishana, wewe chukuwa yote halafu changanya na yako, usingoje kuburuzwa tu kwa kuwa kuna watu wanakuwa wasemaji wazuri, wana vipaji na mvuto wa kuongea, wanaweza kukuamnisha chochote wapendacho, hata ambayo hayatendeki. Kama Nyerere, alikuwa msemaji mzuri sana, lakini nchi ikawa masikini wa mwisho duniani, na kila atachosema utaamini hiki ndicho chenyewe, kumbe porojo tu nyingi.


Umeongea mambo meeengi ambayo hayana uhusiano na nilichokuuliza


Ila kikubwa ulichokiri hapa pengine kwa kujua ama kutokujua ni kwamba Mwanamke anaweza kuongoza Wanawake wenzake ama watoto tu na si vinginevyo.... (sasa kipi kikushangazacho kuhusu WASUKUMA kukaataa kuongozwa na wanawake?)


Hoja yako kuhusu MISAMBWANDA naona haina mashiko ukizingatia,

M/Mungu aliyeumba wanawake na MISAMBWANDA yao na wanaume na TAMAA zao aliyajua yote hayo hata kabla ya yote

sasa iweje iogopwe wanawake kuongoza sala mbele ya wanaume eti kisa MISAMBWANDA?
 
Kama kwa "udini" unamaanisha Uislam basi elewa kuwa hilo sitaliacha mpaka niingie kaburini.

Kaitazame "Royal tour", mwenyewe kaonesha nyumbani kwao na alipolelewa na msikiti na madrassa aliyosoma ipo hapo hapo kwao, hapo alisema ndiyo palipomjengea maadili.


Utaacha wapi kuusifia Uislam kwani ndiyo uliomfundisha nidhamu na maadili, unafikiri maadili yanafundishwa shule za secular? Au shule za Kikaristo? Ambako mapadri wamejazana mashoga, kuna kufundishana maadili mema huko?


Rais wa Ufilipino Duterte kayasema hayo, si mimi, unataka ushahidi sema nikuwekee.
Maadili ya kuwaambia mawazir NONSENCE na kuwaambia wandishi wa habar USIPONIKUNA vizuri NAKUPARUA hayo ndo maadili Chui Jike!
 
Shida siyo Uzanzibari wau Uanamke wake, shida ni Uislam wake.

Nnakuhakikishia kila anaempinga mama humu basi utakuta sio Muislam.
Kwahiyo waisilamu hawakosei au ukiwa muislamu huoni ujinga unafanyika!?
Waislamu kama wewe ni majuha mwanzo mwisho, huko mitaani wanao
mpinga kuhusu tozo, mafuta, umeme nao ni wakristo tu!?
Ajuza umezeeka vibaya.
 
Kama kwa "udini" unamaanisha Uislam basi elewa kuwa hilo sitaliacha mpaka niingie kaburini.

Kaitazame "Royal tour"

Screenshot_20220508-203810.png
 
Back
Top Bottom