Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Who are you kututhbitishia kuwa amesamehewa?

Kama yuko Mbinguni, basi hata Shetani nae yuko Mbinguni.
Mimi sijawathibitishia kuwa amesamehewa, nilichosema ni nimesema nimesikia sauti kuwa yuko peponi.
Kufa ni kama kuzaliwa, anayejua mtoto atazaliwa saa ngapi ni mtoto mwenyewe na Mungu wake, cliniki wanaweza tuu kukutajia tarehe tarajiwa lakini sio saa. Vivyo hivyo katika kifo, ni mtu tuu na Mungu wake ndio anayejua ni saa ngapi roho inaaacha mwili, hivyo no one knows kabla roho haijatoka aliongea nini na Mungu wake, alitubu au hakutubu, hili sii langu, nilichoelezwa ni yuko peponi!.

After all, tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo, inawezekana na yeye ni neema hiyo ya utakaso, ilimuangukia akadumbukia peponi, kama alivyo beep urais.

Hili la shetani yuko wapi, nalo neno, sii wengi wanaojua kuwa mwanzo shetani alikuwa mbinguni na ndie malaika mkuu, the 2nd in command. Baada ya kuasi, alitupwa duniani, ila hakunyanganywa nguvu zake, hivyo ana penda sana kuji disguise as God, na kuna wengi tuniani wanamuabudu shetani bila kujijua wakidhani wana muabudu Mungu, ila shetani na yeye anacho kipepo chake!.
P
 
Mtu anayeitwa John Magufuli huenda akawa mbinguni kwa raha zake

Uraisi wa John Magufuli ulikuwa wa ovyo, kuuwa, kuteka, ulijaa ufisadi usiohimilika.
Sina shida au tatizo na John ila Nina tatizo na ule urais wake.Kusema kwamba nimpake mafuta mafuta kwa mgongo wa chupa kisa ni mfuu sikubaliani nao,
Hitler, Bokassa, Idd Amin na magufuli wataendelea kutumika kama mifano ya tawala dhalimu
 
Yes kabla ya kufariki aliongozwa sala ya toba tena na mlokole, ngoja niishie hapa siwezi Anika kila kitu, yupo zake mbinguni, nyie endeleeni kutukana. Ukimuheshimu Mungu naye atakuheshimu, atakufanyia nafasi ya kutubu wakati wa kufa kwako. Mwenzetu alipata hiyo neema na haijalishi aliyofanya humu duniani.
Yeyote anayechekelea kufa kwa huyu baba means hana moyo wa kusamehe na usiposamehe Mungu hatakusamehe, imeandikwa hivyo na ndivyo ilivyo. Kwa jinsi mioyo yenu ilivyo migumu mtakufa vifo vibaya vya kustukiza hata msipate neema ya kutubu. Mwenzetu alijua kabisa anakufa na akakubali kuongozwa Sala ya Toba.
Uliona wapi mkristo anaombewa na mkristo na muislam?
Like lilikuwa halijui hata linachokiabudu....halimjui hata linamwabudu mungu yupi?
 
Wanaomsema Mareham JPM ni wachache sana, wanajirudia, rudia, sema wana kimberembere na hawataki kunyamaza kuonyesha kwamba hawampendi Marehemu. Lakini kwa nini uhangaike na marehemu, serious! Tukisema Watanzania waulizwe leo wangapi loved na wana-miss JPM, ni 99%. Wanaohangaika na Marehemu ni less than % ya Tanzania population, na wengi ni wale wa the have, the have not will always miss him, always and forever. Let him Rest in Peace, Rip uncle Magu.
 
Aliua, kuteka, kupora na kutesa watu bila sababu zozote za maana.
Mungu muweza wa yote akapindua meza.
Laana ya kijana wa makambako aliyepigwa na polisi, Tiss na jeshi kwa amri yake itamuandama popote alipo.
Mungu hasamehi waovu
Huyu alikuwa muovu
Alimuua nani, alimteka nani, alimpora nani,alimtesa nani. Kama hujui hata mmoja basi mkuu kavae dela. JPM alikuwa innocent aliyeipenda nchi yake na kutoa uhai wake kea ajili ya taifa la watanzania. Ni Yesu tu aliyeweza kufanya hivi.
JPM alijua kabisa atauawa anytime ila hakuogopa kifo sababu alijua kuwa akifa dam yake itamwagika kwa ajili ya watu wake. Nampenda, namtumikia, namtukuza mpaka nitakapokufa
 
Alimuua nani, alimteka nani, alimpora nani,alimtesa nani. Kama hujui hata mmoja basi mkuu kavae dela. JPM alikuwa innocent aliyeipenda nchi yake na kutoa uhai wake kea ajili ya taifa la watanzania. Ni Yesu tu aliyeweza kufanya hivi.
JPM alijua kabisa atauawa anytime ila hakuogopa kifo sababu alijua kuwa akifa dam yake itamwagika kwa ajili ya watu wake. Nampenda, namtumikia, namtukuza mpaka nitakapokufa
Kwa nini kujilisha upepo kwa kutarajia siha njema?Muukubali ukweli.Hata mkipiga chenga,ukweli upo palepale.Kwa nini yeye tu?Asingiziwe ili iweje?
 
Kwa kuwa Magufuli alipokea masakramenti kabla ya kifo chake, maana yake alikufa katika hali ya neema ya utakaso, ambapo;
  • Ameenda mbinguni moja kwa moja kama hakuwa na dhambi ndogo (which is more likely)
  • Ameenda toharani kutakaswa kabla ya kwenda mbinguni kama alikufa akiwa na dhambi ndogo alizozitenda baada ya kupokea masakramenti (which is less likely)
Yafaa BASI uweke na 'andiko' husika kutoka kwenye biblia na sio porojo/hisia tupu
 
Mkuu Jopaki, haya mambo ya kusikia sauti, sio yetu, ni mambo ya over and above, nilichosema hapa ni kile tuu nilichosikia kuhusu hiyo sauti, na kwenye bandiko langu nimesema, no one can tell for sure mtu akiisha kufa roho inaenda wapi!, hivyo mimi sio msemaji wa Mungu, bali kuna vitu vya Mungu, Mungu anavisema kupitia mimi, na mimi nikivisikia kupitia hizo sauti, huwa navisema humu na vingi vinatokea!.
Kimoja kikubwa ni hiki, mwaka 2014 nilisema kitu hiki Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

P
Sawa mkuu Pascal nimekuelewa
 
Alimuua nani, alimteka nani, alimpora nani,alimtesa nani. Kama hujui hata mmoja basi mkuu kavae dela. JPM alikuwa innocent aliyeipenda nchi yake na kutoa uhai wake kea ajili ya taifa la watanzania. Ni Yesu tu aliyeweza kufanya hivi.
JPM alijua kabisa atauawa anytime ila hakuogopa kifo sababu alijua kuwa akifa dam yake itamwagika kwa ajili ya watu wake. Nampenda, namtumikia, namtukuza mpaka nitakapokufa
Yaonekana kama vile wewe na wenzio akina SABAYA ndio mlikuwa mnatumwa kutenda hizo kazi chafu. Hiyo haimfanyi kuepuka na kumwagikiwa na damu. Ndio maana alikuwa anaogopa SANA kifo
1658500893219.png
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE?

Why watu wengine waendelee kumshutumu, kumsakama na kumsimanga?. Kwa nini asiachwe ajipumzikie zake kwa amani!. Mtu ameisha tangulia mbele ya haki, kwanini watu waendelee kumsema sema kwa ubaya.

Mimi mwana jf mwenzenu ni Mzee wa Sauti za Ndani "the inner voice", unafanya kitu fulani na mara unasikia sauti from within ikikuambia jambo fulani.

Angalizo kuhusu Abstract Topics.

Issues na mtu akiisha kufa, we all knows what happens to the body, but roho huwa inakwenda wapi, no one knows for sure, hivyo tunategemea mafundisho ya dini zetu.

Kuna sisi dini za wana wa Nabii Ibrahim, Wakristo na Waislamu tumefunzwa kuhusu mbinguni, peponi, ahera, jehanam ya moto wa milele, na kuna siku ya mwisho siku ya hukumu ya mwisho ya kiama atakapo rudi Mwana wa Adamu, ambapo kutakuwa na ufufuko wa miili na uzima wa milele.

Kuna wenzetu wa Buddhism na Hindu ambao ni waumini wa karma, wao wanaamini kwenye after life na incarnation.

Hakuna yeyote awaye yote aliwahi kufa akayashudia hayo na kurejea duniani kututhibitishia mbingu ipo, peponi kupo na motoni kupo, wala waumini wa reincarnation no one can say for sure alikuwa nani before, zaidi ya ushahidi wa deja vu, hakuna uthibitisho wowote wa reincarnation Ila kwa vile na mimi niliishi India, I know for sure karma ipo and it's for real!

Hivyo hii mada ni mada ya imani, kama wewe huamini, please keep your faith nakuomba usibeze imani za wengine, ukijiona huamini, nakuomba jipitie zako kimya kimya, tuache sisi waumini.

Leo asubuhi nilikuwa nasoma michango ya wachangiaji wa bandiko langu hili.

Kuna mtu akachangia kitu, katika kumjibu nikatumia link hii

Sasa ni wakati nasoma bandiko lenyewe, na naomba nililete hapa bandiko lenyewe lote kwa faida ya wavivu to follow links.


Ndipo nikaisikia sauti, voices from within kuwa JPM yuko peponi, ahera, mbinguni kwa Baba!

Kwa kawaida ya sauti, huwa inakuambia tuu kitu na haikupi sababu, hivyo naomba msiniulize sababu, hapa kazi yangu ni moja tuu kuwaeleza kile nilichosikia Leo ni JPM yuko peponi!

Hivyo baada ya kuisikia hiyo sauti nikamsikiliza tena JPM kwa makini sana katika video hii
Nimejirisha bila chembe ya shaka, huyu mtu yuko mbinguni kwa Baba yake!

Hapa simaanishi kuwa JPM yuko peponi kwasababu he is perfect kama malaika, no!. JPM was a human being hivyo he is not perfect and no one is perfect, kilichofanya hiyo sauti ni despite his human mistakes JPM alitubu kabla ya umauti na kusamehewa makosa yake yote, na ndio maana nimeambiwa, sasa he is in heaven now!.

Kwa bandiko hili, sasa ningewaomba watu humu, kutoendelea kumsakama, kumshutumu, kumsimanga na kuendelea kumsema vibaya, na badala yake tumwache apumzike kwa amani. Kama Mungu mwenyewe amemsamehe na kumuita kwake, who are you kuendelea kumsema sema vibaya?

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali.
Thibitisha kuna hiyo mbingu watu wanakwenda kukutana na Baba.

Na kwamba hizo habari si uongo wa kujifariji tu.
 
Kuna mtu flani yupo mkoa flani huyo yeye atakwenda kuzimu kuishi na shetani maana anapenda mno pesa na madaraka.
Yaani akienda huko kuzimu kwa rafiki yake shetani angalau itakua afadhali.
Yaonekana kama vile uliwahi kuwa mtangazaji wa kipindi cha enzi zile cha RTD cha 'mikingamo'
 
Back
Top Bottom