Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Who are you kututhbitishia kuwa amesamehewa?

Kama yuko Mbinguni, basi hata Shetani nae yuko Mbinguni.
Mimi sijawathibitishia kuwa amesamehewa, nilichosema ni nimesema nimesikia sauti kuwa yuko peponi.
Kufa ni kama kuzaliwa, anayejua mtoto atazaliwa saa ngapi ni mtoto mwenyewe na Mungu wake, cliniki wanaweza tuu kukutajia tarehe tarajiwa lakini sio saa. Vivyo hivyo katika kifo, ni mtu tuu na Mungu wake ndio anayejua ni saa ngapi roho inaaacha mwili, hivyo no one knows kabla roho haijatoka aliongea nini na Mungu wake, alitubu au hakutubu, hili sii langu, nilichoelezwa ni yuko peponi!.

After all, tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo, inawezekana na yeye ni neema hiyo ya utakaso, ilimuangukia akadumbukia peponi, kama alivyo beep urais.

Hili la shetani yuko wapi, nalo neno, sii wengi wanaojua kuwa mwanzo shetani alikuwa mbinguni na ndie malaika mkuu, the 2nd in command. Baada ya kuasi, alitupwa duniani, ila hakunyanganywa nguvu zake, hivyo ana penda sana kuji disguise as God, na kuna wengi tuniani wanamuabudu shetani bila kujijua wakidhani wana muabudu Mungu, ila shetani na yeye anacho kipepo chake!.
P
 
Mtu anayeitwa John Magufuli huenda akawa mbinguni kwa raha zake

Uraisi wa John Magufuli ulikuwa wa ovyo, kuuwa, kuteka, ulijaa ufisadi usiohimilika.
Sina shida au tatizo na John ila Nina tatizo na ule urais wake.Kusema kwamba nimpake mafuta mafuta kwa mgongo wa chupa kisa ni mfuu sikubaliani nao,
Hitler, Bokassa, Idd Amin na magufuli wataendelea kutumika kama mifano ya tawala dhalimu
 
Uliona wapi mkristo anaombewa na mkristo na muislam?
Like lilikuwa halijui hata linachokiabudu....halimjui hata linamwabudu mungu yupi?
 
Wanaomsema Mareham JPM ni wachache sana, wanajirudia, rudia, sema wana kimberembere na hawataki kunyamaza kuonyesha kwamba hawampendi Marehemu. Lakini kwa nini uhangaike na marehemu, serious! Tukisema Watanzania waulizwe leo wangapi loved na wana-miss JPM, ni 99%. Wanaohangaika na Marehemu ni less than % ya Tanzania population, na wengi ni wale wa the have, the have not will always miss him, always and forever. Let him Rest in Peace, Rip uncle Magu.
 
Aliua, kuteka, kupora na kutesa watu bila sababu zozote za maana.
Mungu muweza wa yote akapindua meza.
Laana ya kijana wa makambako aliyepigwa na polisi, Tiss na jeshi kwa amri yake itamuandama popote alipo.
Mungu hasamehi waovu
Huyu alikuwa muovu
Alimuua nani, alimteka nani, alimpora nani,alimtesa nani. Kama hujui hata mmoja basi mkuu kavae dela. JPM alikuwa innocent aliyeipenda nchi yake na kutoa uhai wake kea ajili ya taifa la watanzania. Ni Yesu tu aliyeweza kufanya hivi.
JPM alijua kabisa atauawa anytime ila hakuogopa kifo sababu alijua kuwa akifa dam yake itamwagika kwa ajili ya watu wake. Nampenda, namtumikia, namtukuza mpaka nitakapokufa
 
Kwa nini kujilisha upepo kwa kutarajia siha njema?Muukubali ukweli.Hata mkipiga chenga,ukweli upo palepale.Kwa nini yeye tu?Asingiziwe ili iweje?
 
Yafaa BASI uweke na 'andiko' husika kutoka kwenye biblia na sio porojo/hisia tupu
 
Sawa mkuu Pascal nimekuelewa
 
Yaonekana kama vile wewe na wenzio akina SABAYA ndio mlikuwa mnatumwa kutenda hizo kazi chafu. Hiyo haimfanyi kuepuka na kumwagikiwa na damu. Ndio maana alikuwa anaogopa SANA kifo
 
Thibitisha kuna hiyo mbingu watu wanakwenda kukutana na Baba.

Na kwamba hizo habari si uongo wa kujifariji tu.
 
Kuna mtu flani yupo mkoa flani huyo yeye atakwenda kuzimu kuishi na shetani maana anapenda mno pesa na madaraka.
Yaani akienda huko kuzimu kwa rafiki yake shetani angalau itakua afadhali.
Yaonekana kama vile uliwahi kuwa mtangazaji wa kipindi cha enzi zile cha RTD cha 'mikingamo'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…