Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Paskali
Unajua tangu umeanguka na ile Pikipiki ukitoka Morogoro tukakuokoa pale Kwa spidi nadhani ulipata mstuko wa kiakili ni budi mambo zingine uwe unaziacha Ilivyo Kwa faida ya kwako.
Pole sana Kwa kuuliza na aliyekwisha pumzika. Wasatch walioguswa Naye waseme ya moyoni
Jua walikerwa!!
 
Unajuaje kama hakua anakwepa Kodi, tulifanya mambo yetu kwa hali mbona account zetu zilikua na mamilioni ya pesa na hatukusumbuliwa, huyo muungu wake hakumtetea? Ukiwa na haki Mungu hawezi kuruhusu mtu yeyote kuchukua mapesa yako bank
Pesa za sukuma gang hazikuchukuliwa.
 
Aliua, kuteka, kupora na kutesa watu bila sababu zozote za maana.
Mungu muweza wa yote akapindua meza.
Laana ya kijana wa makambako aliyepigwa na polisi, Tiss na jeshi kwa amri yake itamuandama popote alipo.
Mungu hasamehi waovu
Huyu alikuwa muovu
Maandiko. Usihukumu.
 
je, aliowatendea mabaya walishamsamehe?au unamwona jpm ni malaika,au siasa zako za uchwara ndo zinakufikirisha kwamba mungu kamsamehe
 
Ushuhuda ni swala binafsi sio jamii nzima unafosi I kua mini
 

Matayo 20
Neno: Bibilia Takatifu

Mfano Wa Wafanyakazi Katika Shamba La Mizabibu​

20 “Ufalme wa mbinguni unaweza kufananishwa na mtu mwenye shamba la mizabibu aliyeondoka alfajiri kwenda kutafuta vibarua wa kufanya kazi shambani kwake. 2 Wakapatana kuwa atawalipa msha hara wa kutwa, yaani dinari moja, akawapeleka shambani.
3 “Mnamo saa tatu akaondoka tena akawakuta watu wengine wamesimama sokoni bila kazi. 4 Akawaambia, ‘Ninyi pia nendeni mkafanye kazi katika shamba langu la mizabibu na nitawalipa haki yenu.’ Kwa hiyo wakaenda. 5 Mnamo saa sita na pia saa tisa alion doka tena akafanya hivyo hivyo. 6 Mnamo saa kumi na moja akaon doka tena akawakuta watu wengine bado wanazurura. Akawauliza, ‘Kwa nini mmesimama hapa kutwa nzima pasipo kufanya kazi?’ 7 Wakamjibu, ‘Ni kwa kuwa hakuna aliyetuajiri.’ Akawaambia, ‘Ninyi pia nendeni mkafanye kazi katika shamba langu la miza bibu.’
8 “Ilipofika jioni, yule mwenye shamba akamwita msimamizi wa vibarua akamwambia, ‘Waite wafanyakazi uwalipe ujira wao, ukian zia na wale walioajiriwa mwisho na kuishia na wale walioajiriwa kwanza.’ 9 Wale vibarua walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakaja na kila mmoja wao akalipwa dinari moja. 10 Basi wale wal ioajiriwa kwanza walipofika, walidhani watalipwa zaidi. Lakini kila mmoja wao pia alipewa dinari moja. 11 Walipoipokea, wakaanza kumlalamikia yule mwenye shamba wakisema, 12 ‘Hawa watu walioajiriwa mwisho walifanya kazi kwa muda wa saa moja tu. Ime kuwaje wewe ukawalipa sawa na sisi ambao tumefanya kazi ngumu na kuchomwa na jua mchana kutwa?’
13 “Yule mwenye shamba akamjibu mmoja wao, ‘Rafiki, sija kudhulumu. Je, hatukupatana kwamba utafanya kazi kwa dinari moja? 14 Chukua haki yako uende. Mimi nimeamua kumlipa huyu mtu ali yeajiriwa mwisho sawa na wewe. 15 Je, siwezi kufanya nipendavyo na mali yangu? Au unaona wivu kwa kuwa nimekuwa mkarimu?’ 16 Hali kadhalika, wa mwisho watakuwa wa kwanza na wa kwanza watakuwa wa mwisho.”

Mkuu Mshana Jr, Jee unajua hili ni fundisho la nini?.
P.
 
Tukamfukue kama hatutaona mafupa.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
15 Je, siwezi kufanya nipendavyo na mali yangu? Au unaona wivu kwa kuwa nimekuwa mkarimu?’ 16 Hali kadhalika, wa mwisho watakuwa wa kwanza na wa kwanza watakuwa wa mwisho.”[emoji1545]
 
15 Je, siwezi kufanya nipendavyo na mali yangu? Au unaona wivu kwa kuwa nimekuwa mkarimu?’ 16 Hali kadhalika, wa mwisho watakuwa wa kwanza na wa kwanza watakuwa wa mwisho.”[emoji1545]
Hilo fundisho ni kutufunza anayekufa leo, aliyekufa jana, juzi na atakaye kufa kesho, wote watapokea malipo sawa, kule mbinguni there is no distance and time, hivyo kila siku ni kama leo na miaka 1000 ni kama siku moja.

Wale waliopo jehanam wakiogelea kwenye lile ziwa la moto wa milele, haijalishi umeingia lini, kwa vile there is no distance and time, ni kama ndio wameingia leo. Ukifa unahukumiwa hakuna kusubiri, kama ni wa peponi, unaanza hapo hapo kula raha za pepo, na kama ni wa motoni, unaanza hapo hapo mateso na kusaga meno.
Pokea na kisa hiki cha Lazaro masikini na Lazaro tajiri.

Luka 16:19-31
Neno: Bibilia Takatifu

Mfano Wa Tajiri Na Maskini Lazaro​

19 Akasema, “Palikuwa na tajiri mmoja aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, nguo za gharama kubwa, kila siku. 20 Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, mwenye vidonda mwili mzima, alikuwa akiletwa mlangoni kwa huyo tajiri kila siku. 21 Lazaro alikuwa akitamani kula makombo yaliyodondoka mezani kwa tajiri. Hata mbwa walikuwa wakiramba vidonda vyake.
22 “Hatimaye, yule maskini alikufa. Malaika wakamchukua akakae pamoja na Ibrahimu mbinguni. Yule tajiri naye pia akafa, akazikwa. 23 Alipokuwa kuzimuni ambapo alikuwa akiteseka, alita zama juu, akamwona Ibrahimu kwa mbali na Lazaro karibu yake. 24 Akaita, ‘Baba Ibrahimu, nionee huruma umtume Lazaro achovye japo ncha ya kidole chake katika maji aupoze ulimi wangu maana ninateseka kwenye moto huu.’ 25 Lakini Ibrahimu akamjibu, ‘Mwa nangu, kumbuka kwamba ulipokuwa hai ulipata kila kitu kizuri uli chotaka, ambapo Lazaro alipokea mabaya. Lakini sasa anafarijika hapa na wewe unateseka. 26 Isitoshe, kati yetu na ninyi huko, kumewekwa bonde kubwa lisilopitika ili wale wanaotaka kutoka huku kuja huko au kutoka huko kuja huku wasiweze.’ 27 Akasema, ‘Basi, baba, tafadhali umtume Lazaro aende nyumbani kwa baba yangu, 28 awaonye ndugu zangu, wasije wao pia wakaletwa mahali hapa pa mateso watakapokufa.’ 29 Ibrahimu akamjibu, ‘Ndugu zako wanazo sheria za Musa na maandiko ya Manabii. Itawapasa watii hayo.’ Lakini yule tajiri akazidi kumsihi, 30 ‘Hapana baba Ibrahimu, ndugu zangu hawatashawishiwa na hayo. Lakini mtu kutoka kuzimu akitumwa kwao watatubu na kuziacha dhambi zao.’
31 “Ibrahimu akamwambia, ‘Wasiposikiliza na kutii sheria za Musa na Maandiko ya manabii, hawatashawishika kutubu hata kama mtu akifufuka kutoka kuzimu.”
P.
 
Mayalla amejijengea heshima ila vitu vingine vinatia mashaka uwezo wake, anajipa uhakika kama vile ni msemaji wa MUNGU
 
Kwani ukiendelea kumsema vibaya ndiyo unapata faida gani? Zaidi unapoteza maarifa tu kwa sababu hata Yale mema ambayo ungetakiwa kuyachukuwa na kuyaishi huwezi yaona maana tiari ubongo wako unakuwa umeharibiwa na chuki .hili ni tatizo kubwa kwetu wanadamu .Yesu nabii ISSA bin Mariam alisema : kwani kuniita Mwema? Hakuna Mwema Ila Baba wa Mbinguni! Hapo Kuna fundisho kubwa! Jk Nyerere alisema : katika kutawala kwake yako mema yamefanywa na yako mabaya pia tumefabya! Yale mabaya tunayaacha yale mazuri tunayachukua tunaenda nayo!! Magufuli kama wanadamu wengine alitenda mema na mabaya pia .Mwanadamu kwenye kujua maana ya maarifa anayachukua yake mema aliyotenda Magufuli anaenda nayo lakini wajinga na wapumbavu wanachukuwa Yale mabaya wanayaishi mwisho wao mtakufa na umaskini wenu na ujinga wenu kama siyo upumbavu!!
 
Umenifanya nikumbuke baadhi ya mistari kwenye biblia ya maandiko matakatifu.

Inasema hivi kulikuwa na tajiri na masikini Jima lake ni Lazaro. Huyu Lazaro hakupenda kuishi Yale maisha yakutafuta makombo na kulamba vidonda vyake. Alikuwa ni mtu wa kusaidia kimawazo na kiafya kwanza.

Lazaro hakukata tamaa kutokana na madonda alizokuwa nayo, mwishowe akafariki na tajiri akafariki nyuma yake. Ila walikwenda kukutana mbele ya safari zao.

Tajiri na Lazaro walikuwa hawaongei wakati wanaishi hapa duniani zaidi ya tajiri kumtupia Lazaro makombo ya chakula.

Ndugu Yangu Pascal hiyo sauti ni Kama ile ya tajiri alipomwona Lazaro akiwa kifuani kwa Abraham kwa macho. Ikatoka sauti inamwita Ibrahim nisaidie kumtuma Lazaro akawaambie ndugu zangu maisha ya mahali pema peponi yanatakiwa yaandaliwe sio kwenda kuyaandaa mbinguni.

Magufuli anafoleni kubwa Sana za watu zinamsuta, waliohai na waliokufa. Lile koti la cheo alichotumia kudhihaki watu wengine wakafa, wengine wakapatwa na magongwa ambayo hayaponi n.k. Kumbuka kila mtu anamwita mungu kwa kunena maneno anayotamka. Na mungu anasikia.

Magufuli hawezi kuwa mbinguni kamwe kama ni motoni akimsaidie shetani Yes.
 
Mungu sio mjomba wako kila unachokiota kiwe kweli
 
Mayalla amejijengea heshima ila vitu vingine vinatia mashaka uwezo wake, anajipa uhakika kama vile ni msemaji wa MUNGU
Mkuu Jopaki, haya mambo ya kusikia sauti, sio yetu, ni mambo ya over and above, nilichosema hapa ni kile tuu nilichosikia kuhusu hiyo sauti, na kwenye bandiko langu nimesema, no one can tell for sure mtu akiisha kufa roho inaenda wapi!, hivyo mimi sio msemaji wa Mungu, bali kuna vitu vya Mungu, Mungu anavisema kupitia mimi, na mimi nikivisikia kupitia hizo sauti, huwa navisema humu na vingi vinatokea!.
Kimoja kikubwa ni hiki, mwaka 2014 nilisema kitu hiki Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…