Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #301
Kule hakuna kugombea ni just been granted, kwavile Blaza ali wish, then his wishes ni granted.Na anatarajia kugombea uongozi wa maraika!
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule hakuna kugombea ni just been granted, kwavile Blaza ali wish, then his wishes ni granted.Na anatarajia kugombea uongozi wa maraika!
Wanabodi,
Ndipo nikaisikia sauti, voices from within kuwa JPM yuko peponi, ahera, mbinguni kwa Baba!
Paskali.
Mkuu SAGAI GALGANO , kwa kukusaidia tuu, huku ndiko JPM alipo!.Tatizo sukuma Gang mna chuki binafsi na Lissu kama alivyokuwa bwana wenu motoni.
Kufuru mbaya sana,yupo anaokwa kama ndafuVipi huko, hajapata urais wa malaika?
Imeandikwa.Aliua, kuteka, kupora na kutesa watu bila sababu zozote za maana.
Mungu muweza wa yote akapindua meza.
Laana ya kijana wa makambako aliyepigwa na polisi, Tiss na jeshi kwa amri yake itamuandama popote alipo.
Mungu hasamehi waovu
Huyu alikuwa muovu
Wanabodi,
Why watu wengine waendelee kumshutumu, kumsakama na kumsimanga?. Kwa nini asiachwe ajipumzikie zake kwa amani!. Mtu ameisha tangulia mbele ya haki, kwanini watu waendelee kumsema sema kwa ububaya.l
Paskali.
Mkuu Daisam ,naunga mkono hoja, mtu huna sababu kumshambulia mtu anbaye hawezi kujitetea tena nashauri aache kabisa maana huko aliko, akikasirika tuu ni anamshutua tuu YEYE, na mtu anaitwa fasta dakika sifuri!.Ndugu yangu ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli.
Ni kweli, alitenda mema mengi makubwa mazuri kuliko mabaya na maovu yake, na kabla hajatwaliwa alitubu, akasalishwa sala ya toba, akapakwa mafuta ya Krisma, hivyo dhambi zake zote za hapa duniani, zikaondolewa na zikasamehewa na Mungu mwenyewe!.Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi.
Mungu unayemwamini wewe na Mimi tofauti ,Mungu nayemwamini Mimi anasamehe waovu tena wauaji mfano Sauli ambaye alibadilishwa jina na kuitwa PauloAliua, kuteka, kupora na kutesa watu bila sababu zozote za maana.
Mungu muweza wa yote akapindua meza.
Laana ya kijana wa makambako aliyepigwa na polisi, Tiss na jeshi kwa amri yake itamuandama popote alipo.
Mungu hasamehi waovu
Huyu alikuwa muovu
Mie naamini hua nakuelewa mimi tu andika yako.huko aliko, alikasirika ni anamshutua tuu YEYE, na mtu anaitwa fasta dakika sifuri
Nikweli kabisa, Mungu wetu ni mwema, mwenye upendo, anayesamehe Saba mara sabini!.Mungu unayemwamini wewe na Mimi tofauti ,Mungu nayemwamini Mimi anasamehe waovu tena wauaji mfano Sauli ambaye alibadilishwa jina na kuitwa Paulo
Mkuu Mama Thabo, nafarijika sana pale anapotokea mmoja au wawili wakanielewa!. Asante sana!.Mie naamini hua nakuelewa mimi tu andika yako.
Maana ninasoma huku nacheka hadi machozi😆😆😆😆👊
Wanabodi,
Why watu wengine waendelee kumshutumu, kumsakama na kumsimanga?. Kwa nini asiachwe ajipumzikie zake kwa amani!. Mtu ameisha tangulia mbele ya haki, kwanini watu waendelee kumsema sema kwa ubaya.
Paskali
Mkuu Sexless , unless una uthibitisho, na ushahidi.Nadhani wazanzibari Wana moyo tofauti na wabara. Huku bara tulikiwa na rais mwenye moyo wa kishetani kwelikweli.
Yaani alimpiga risasi Lisu halafu akakataza:-
1. Watu kumchangia damu.
2. Watu kumchangia fedha.
3. Watu kuvaa Tshirts za kumtakia uponaji wa haraka.
4. Wanaccm kwenda kumuona hospitali.
5. Akamtumia Ndugai amnyime hela za matibabu.
6. Akamtumia Ndugai amfute ubunge Lisu.
Magufuli was a Satan in human face.
Afe tena huko aliko.
Huko yeye ni kiongozi wa malaika, hivyo msimfanyie masikhara hata kidogo!, anaweza kuita yeyote aliopo akamfuata huko alipo!.Vipi huko, hajapata urais wa malaika?
Fumbo hiliMkuu Pascal siwezi kupingana na wewe kwa sababu aliwekwa na huyo MKUBWA kwa kusudi maalumu,lakini alifeli vibaya sana kwa sababu maalum pia,ila kilichosababisha akachukuliwa sijawahi kusikia mtu yeyote akikitaja. Sababu zote zinazotajwa ni chanzo lakini sababu kuu ipo.
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE?
Why watu wengine waendelee kumshutumu, kumsakama na kumsimanga?. Kwa nini asiachwe ajipumzikie zake kwa amani!. Mtu ameisha tangulia mbele ya haki, kwanini watu waendelee kumsema sema kwa ubaya.
Mimi mwana jf mwenzenu ni Mzee wa Sauti za Ndani "the inner voice", unafanya kitu fulani na mara unasikia sauti from within ikikuambia jambo fulani.
Angalizo kuhusu Abstract Topics.
Issues na mtu akiisha kufa, we all knows what happens to the body, but roho huwa inakwenda wapi, no one knows for sure, hivyo tunategemea mafundisho ya dini zetu.
Kuna sisi dini za wana wa Nabii Ibrahim, Wakristo na Waislamu tumefunzwa kuhusu mbinguni, peponi, ahera, jehanam ya moto wa milele, na kuna siku ya mwisho siku ya hukumu ya mwisho ya kiama atakapo rudi Mwana wa Adamu, ambapo kutakuwa na ufufuko wa miili na uzima wa milele.
Kuna wenzetu wa Buddhism na Hindu ambao ni waumini wa karma, wao wanaamini kwenye after life na incarnation.
Hakuna yeyote awaye yote aliwahi kufa akayashudia hayo na kurejea duniani kututhibitishia mbingu ipo, peponi kupo na motoni kupo, wala waumini wa reincarnation no one can say for sure alikuwa nani before, zaidi ya ushahidi wa deja vu, hakuna uthibitisho wowote wa reincarnation Ila kwa vile na mimi niliishi India, I know for sure karma ipo and it's for real!
Hivyo hii mada ni mada ya imani, kama wewe huamini, please keep your faith nakuomba usibeze imani za wengine, ukijiona huamini, nakuomba jipitie zako kimya kimya, tuache sisi waumini.
Leo asubuhi nilikuwa nasoma michango ya wachangiaji wa bandiko langu hili. "Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa!
Sasa ni wakati nasoma bandiko lenyewe, na naomba nililete hapa bandiko lenyewe lote kwa faida ya wavivu to follow links.
Ndipo nikaisikia sauti, voices from within kuwa JPM yuko peponi, ahera, mbinguni kwa Baba!
Kwa kawaida ya sauti, huwa inakuambia tuu kitu na haikupi sababu, hivyo naomba msiniulize sababu, hapa kazi yangu ni moja tuu kuwaeleza kile nilichosikia Leo ni JPM yuko peponi!
Hivyo baada ya kuisikia hiyo sauti nikamsikiliza tena JPM kwa makini sana katika video hii
Nimejiridhisha bila chembe ya shaka, huyu mtu yuko mbinguni, peponi kwa Baba yake!, yuko na Baba yake!.
Hapa simaanishi kuwa JPM yuko peponi kwasababu he is perfect kama malaika, no!. JPM was a human being hivyo he is not perfect and no one is perfect, kilichofanya hiyo sauti ni despite his human mistakes JPM alitubu kabla ya umauti na kusamehewa dhambi zake zote na makosa yake yote, na ndio maana nimeambiwa, sasa he is in heaven now!.
Kwa bandiko hili, sasa ningewaomba watu humu, kutoendelea kumsakama, kumshutumu, kumsimanga na kuendelea kumsema vibaya, na badala yake tumwache apumzike kwa amani. Kama Mungu mwenyewe amemsamehe na kumuita kwake, who are you kuendelea kumsema sema vibaya?
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali.
Pascal badili dini kaka, wenzetu waislamu wanaamini kuna shetani mmoja Mungu alimpeleka Mbinguni kuishi na Malaika...Umeona huna chako kwa Mama sasa umeamua kujiunga Sukuma gang rasmi na kujiweka wazi. Toka lini Shetani akaenda peponi? Wewe una mikosi japo am sorry to say that maana hata shetani Jiwe alikukataa na kukuita Mtu mwenye njaa kama wakumbuka. Mimi nashauri Mama akae kando na wewe.
Anayeleta ndiye ametwaa, anapoleta huwa hatoi sababu na anapotwaa pia huwa hatoi sababu, hivyo hakuna yeyote ajuaye for sure the exact reasons za kutwaliwa, ila pia tupo akina sisi, ambao kabla hajawa, tulisema kitu, Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe MagufuliMkuu Pascal siwezi kupingana na wewe kwa sababu aliwekwa na huyo MKUBWA kwa kusudi maalumu,lakini alifeli vibaya sana kwa sababu maalum pia,ila kilichosababisha akachukuliwa sijawahi kusikia mtu yeyote akikitaja. Sababu zote zinazotajwa ni chanzo lakini sababu kuu ipo.
Haaaahaaaa!,sawa mkuu,umeshinda kwa HOJA na tuishilie hapa.Anayeleta ndiye ametwaa, anapoleta huwa hatoi sababu na anapotwaa pia huwa hatoi sababu, hivyo hakuna yeyote ajuaye for sure the exact reasons za kutwaliwa, ila pia tupo akina sisi, ambao kabla hajawa, tulisema kitu, Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Aliposhinda uchaguzi ile 2015, tukasema kitu Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
Baada ya mtu kulalamikia matokeo pia tukasema kitu Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!
Kabla ya uchaguzi wa 2020 tukashauri Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Baada ya kushuhudia rafu zilizochezwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, tukasema kitu Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi
Kwenye hizo hoja zote, pia ninaweka kitu kinachoitwa causes and effects, kwenye effects naweka the consequences.
Kilichomuondoa Blaza ni the accumulation of bad karma "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Yaani ni karma imekula kichwa!.
Uzuri wa karma, ukiishalipa deni la karma, deni linakuwa limelipwa, unatakasika, unaingia peponi, ndivyo JPM alivyoingia mbinguni.
P