PreGE2025 Voices From Within: Tundu Lissu kuachiwa Huru kwa Nolle ya DPP, Serikali has no Interest kuendelea na Kesi ya Uhaini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hawana kesi ni usanii mtupu kama mikataba ya madini na raslimali wanayo sign kila siku,nchi nyingi za Southern and Eastern Africa zimeshaachana na siasa za kifala kama za CCM, Zambia, Malawi, Mozambique, Botswana, Kenya, Namibia etc vyama vimebadilishana power bila matatizo wenzetu wanasonga mbele kwenye Democracy
 
Ndio basi tena CHADEMA haina namna ya kushiriki uchaguzi japo deep inside their hearts wangependa shiriki, wameshawaambia wanachi bira reforms hawatoshiriki uchaguzi, na wananchi wamepokea somo la NRNE, sasa wanarudi vipi tena kuwaomba kura, itakuwa ni aibu.

Ni sawa na kukaribishwa chakula, ukasema asante we endelea tu, wakati una njaa kali mno.
 
Hilo lipo Wazi kama nyeti za kuku zipilizwapo na upepo mkali

Pia kuna msemo usemao

Nyani anapozidi kukwea mti juu
Ndipo na Mkuu..nd wake uzidi kuonekana ulivyo Wazi

Kwa matukio ya kubambikiana makesi kwa Mfumo wa serikali hii hatuko mbali kwa waserikali kuja kukamatana wenyewe kwa wenyewe
 
Hujielewi na huelewi unacho kielewa
 
Brother umeanza Ramli tena
 
Kuna jambo unataka kusema!umeficha ficha weeee mpaka basi!!

Aliemweka Lisu Kwa Koro koro hatokuwepo !!!?!!?atakua wapi!!?nyumbani, hospital,kwao au!!?

Atakua Hana power kabisa ya kufanya chochote tena!!?

Nadhani ndio maana Lisu atakua nje!!
 
Kilicho salia ni Dpp kukata mzizi wa fitna kujibu mwaswali yako P,kwa maslahi ya Taifa.
 
Wapiga ramli ndo mlivyo. Hata jina lako (manjaa) limekaa ki-ramli ramli tu 😂😂
 
#NoreformsNoelection iko kwenye mioyo ya watu Paschal... Nolle Prosequi haiwezi kubadilisha chochote hata ikitolewa kama bakshishi. 🤔
 
Hv DPP akisema serikali haina haja ya kuendelea na hii kesi, hakuna uwezekano wa kuishitaki serikali kwa kumsingizia mwananchi uongo kuwa n muahini?
Ndio maana wanaogopa kuandikwa kwa Katiba Mpya maana watabanwa na masharti magumu ya wananchi.....

Ushahidi ni madame Speaker ambaye juzi tu ameanza siku kwa kujiharishia kwa hofu ya maamuzi ya mahakama ya rufaa.
 
Na iwe hivyo. Mimi sio mfuasi wa Lissu wala sio mpenzi wa Mambo ya siasa Ila najisikia vibaya sana, Lissu kukaa ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…