PreGE2025 Voices From Within: Tundu Lissu kuachiwa Huru kwa Nolle ya DPP, Serikali has no Interest kuendelea na Kesi ya Uhaini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vipi uliposema Makonda anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
 
Tumpishe Mr. Muda athibitishe hili
 
Siku zote nimekuwa nikiiamini sauti yako yako ya ndani. Hili likifanyika Tanzania itabarikiwa maana ni kama tunatia aibu kwa jambo ambalo halikupaswa kuwa hivi lilivyo.
 
Ngoja waje
 
Kwahiyo ww ndio umerithi mikoba ya Sheikh Yahya Hussein ?
 
Pascal Mayalla angalau nimeipenda hii the voice from within kuwa umeambiwa na YEYE ambaye ni Omniscience, Omnipotent,na Omnipresent ----hapa sina ubishi.

Ila bila reforms tunashirikije uchaguzi...ebu nieleweshe kwa lugha tu nyepesi na wewe ni Mtanzania uliyekuwepo na kujua yaliyotokea 2019, 2020 na 2024 ?
 
Paskali bana, kwamba cdm watashiriki uchaguzi wakati kila siku ccm wanatamba cdm haijasaini na haitashiriki uchaguzi? Hata usingeambiwa na yeye, ni dhahiri Lisu ataachiwa tu maana hakuna kesi hapo bali kumtishia aendelee na watanzania waendelee kuiogopa ccm. Kungekuwa na kesi wasingekuwa wanaahirisha kila siku, na kumkomoa huko gerezani.
 
Asante mchungaji.
 
Na iwe. Hatupendi uonevu wa namna hii katika nchi ya Julius Nyerere
 
Kaka p mbona km unaota? Dpp huyu huyu?
 
Nani alimpiga risasi tundu lisu na kwann?
Yupo wapi muuaji wa mzee ALLY KIBAO?
Alphonso Mawazo yupo wapi?
Nani alimpiga na kumua Ben sanane?
Anzory Gwanda yupo wapi?
 
Mwisho wa Siku ni lazima wamuachie maana nia yao kuu ilikuwa kumtuliza na kuhusu Chadema kushiriki uchaguzi hapo Kuna utata kidogo
 
Kwenye research study yoyote ukigusia uandishi wa tafiti mpya kutokana na maandiko ya zamani yaani finding a gap for a new research needs time to go through different articles that have been published

And in this I have authentified with your professes yet still ruminating how might that be.., i might be in a different sermon but i am really sure this is the place in somehow big brother thereby as you still hold a certain role in sacred place, could you elucidate whether we are anticipating the individual whose departure was formally signaled like an ending candle with in it's life cycle or the one we hypothesize may emerge unexpectedly as a kin of comet from the dark

Uncle P
 
Pascal Mayalla kama alivyokuja kwako na Mimi alinijia yapata wiki 4 zilizopita nilichokiona nilifadhaika sana na kuona Huruma, alinambia hilo litatokea na ni hakika
 
"Voice from within" haijakwambia Mama hatakiwi kusimama uchaguzi wa 2025?
 
Mkuu, mbona unaandika vp vinavyojipinga ndani ya mada moja.?

👇

Umesema maamuzi ya DPP hayaingiliwi wala hayahojiwi, sasa vp tena hajaambiwa?
Anamaanisha eti hajaambiwa na Mungu (YEYE).Kwamba yeye Paschal huwa anapata maono ya Mungu.

DPP huwa hapati maelekezo ya maono ya YEYE,bali huwa anaagizwa na Mama afungue kesi au aifute.Hakuna cha YEYE wala WEWE.Kama unamaanisha YEYE ni MAMA hapo sawa.
 
Update
Mungu yupo, ila pia shetani yupo!.
Shetani ni mzuri kutibua mipango ya Mungu hivyo kuichelewesha tuu lakini hawezi kuizuia!.

Sasa Nolle italetwa Julai 15!

Japo Mungu ndie huweka serikali za mataifa, shetani ni mzuri kwa kuzitumia serikali za mataifa, kuchelewesha mapenzi ya Bwana kutimizwa!.
Hakuna jinsi nolle lazima itoke!.
Na sio kuwa wanapenda kutoa nolle!, bali inabidi watoe tuu ili ....!
Naomba nisimalizie ila naomba kuendelea kuelimisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…