PreGE2025 Voices From Within: Tundu Lissu kuachiwa Huru kwa Nolle ya DPP, Serikali has no Interest kuendelea na Kesi ya Uhaini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sawa
 
Ule muda wa hii nolle,ndio huu umewadia,tegemea anytime from now hii nolle itatoka
P
 
Aisee we jamaa ni kiboko. Utabiri wako ni wa level ya kipekee sana 😂😂😂😂😂
Mimi nasemaga siku zote Paskali ni mutu ya Akili kubwa sana !
Ila ndo hivyo tena Nchini mwetu huwa tuna vigezo vyetu vya ajabu ajabu ndo maana utaona teuzi nyeti zinapitia pembeni hazimgusi Mwamba 😳 !
 
Mimi nasemaga siku zote Paskali ni mutu ya Akili kubwa sana !
Ila ndo hivyo tena Nchini mwetu huwa tuna vigezo vyetu vya ajabu ajabu ndo maana utaona teuzi nyeti zinapitia pembeni hazimgusi Mwamba 😳 !
Hahahaaa nilikuwa namsanifu tu. Hana hiyo akili kubwa.

You get no credit for predicting the obvious.

Natabiri kesho jua litawaka. Likiwaka kweli niite akili kubwa 😂.
 
 
Muelekeo ni uamuzi wa Majaji 21/08/2026.
 
Aisee we jamaa ni kiboko. Utabiri wako ni wa level ya kipekee sana 😂😂😂😂😂
Okay lazima tukubali kutokukubaliana 🙄 !
Au nasema uongo ndugu zanguni ? !
Mkuu Ndolele,@ndolelejiuduhe,kukubali kutokubaliana ndio uungwana ambao tunauhubiri sana humu,kwanza tuheshimu uhuru wa kila mtu kutoa mawazo yake, pili tuheshimu mawazo ya kila mtu,hata kama hukubaliani nayo,
tatu, mtu akitoa hoja ambayo wewe hukubaliani nayo, mpinge kwa kumpinga hoja kwa hoja na sio hoja kwa viroja, na mwisho, kama mtoa hoja, ataendelea kung'ang'ania hoja yake, then, mnakubali kukubaliana kutokubaliana na unapisha njia, unakaa pembeni, na sio kumjadili mtoa hoja. https://www.jamiiforums.com/threads...-tupinge-hoja-kwa-hoja-tuache-matusi.2453086/

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…