Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Kuna gari basic mkuu, na kuna magari yasio basic ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.. G Wagon 2021 sio basics chief.. ila Staret ni basics need kabisa ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Hahahahah atleast ukiwa na chuma cha pekee unaweza jivunia! Ila una IST halafu unaningโ€™iniza funguo hii mie imenishinda hata ningekuwa nina Rolce Royce
 
Au Nasema uongo zanguuuuuuuuuu?ahahah

 
Hahahahah atleast ukiwa na chuma cha pekee unaweza jivunia! Ila una IST halafu unaningโ€™iniza funguo hii mie imenishinda hata ningekuwa nina Rolce Royce
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Unakuta kaningiza key holder, funguo za gheto kama ng'ombe kawekea alama asipoteee.. huwezi kuta mwenge G wagon kaning'iniza funguo
 
Nikisikia mtu anazungumzia manual naona ananirudisha zamani.. mzungu anafanya maisha yawe mepesi hadi analeta magari auto pilot.. mtu analeta habari za manual ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Kuna Gari ukiiendesha Kama ni Auto haikupi Raha,niliendesha manual Mara ya mwisho wkt natumia Mazda rx-8 then nikatumia Sequential Manual Transmission (SMT) kwny Toyota Spyder kumbuka hii ni tofauti na manual gearbox tuliyoizoea lkn niliikubali kwa foleni za hapa mjini.
 
Hahahah mtt mzuri umeipenda ile Aston Martin nikupe as your next birthday gift?๐Ÿ˜
Usijiongeleshe hapa kama mzaha. Ahadi ni den๐Ÿ˜‚Haya mambo nimechoka kuyaona kwenye movie.
hivi hapa tz kuna wanaume besdei wanatoa hii zawadi?

Note: simaanishi wale wasanii wanaoende showroom kukodi za kuonesha mbele ya camera asubuhi zinarudishwa.

Namaanisha real men wapo hapa bongo?
 
Ila kutokana na kukuwa kwa Techn, si pati picha magari ya huko mbeleni..
 
Real Men wamebaki Bhakressa, Said Simba wa GSM na Mo Dewji japo naskia Mo Bahili kuliko mimi ๐Ÿ˜‚!!!
Mengi, Patel na Zakaria washadanja๐Ÿ˜‚...lol!

Mie ningekuwa na ukwasi huo ningempa zawadi bibie ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜€ maana mademu wa kibongo wengi chenga tupu! Unapewa zawadi ya gari 200M halafu unaanza visa vya ajabu mara tumeachana! Unagongwa na mwalimu wa GYM hahaha๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ