Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Kuna gari basic mkuu, na kuna magari yasio basic 😀😀😀😀.. G Wagon 2021 sio basics chief.. ila Staret ni basics need kabisa 😀😀
Hahahahah atleast ukiwa na chuma cha pekee unaweza jivunia! Ila una IST halafu unaning’iniza funguo hii mie imenishinda hata ningekuwa nina Rolce Royce
 
Hahahah kweli bana nimeona IST juzi ina ngao kama ndege! Nikashangaa af jamaa anaichochea balaa 😂😂😂 anakatisha mataa ya makaburini anaitafuta Mwenge!
Hayo madude ya vijana mie niko tofauti kidogo ndio maana Touareg inanikosha huwezi kuta ina miplastic ya ajabu ajabu!
Au Nasema uongo zanguuuuuuuuuu?ahahah

Screenshot_20210707-080759.jpg
 
Hahahahah atleast ukiwa na chuma cha pekee unaweza jivunia! Ila una IST halafu unaning’iniza funguo hii mie imenishinda hata ningekuwa nina Rolce Royce
😀😀😀😀 Unakuta kaningiza key holder, funguo za gheto kama ng'ombe kawekea alama asipoteee.. huwezi kuta mwenge G wagon kaning'iniza funguo
 
Nikisikia mtu anazungumzia manual naona ananirudisha zamani.. mzungu anafanya maisha yawe mepesi hadi analeta magari auto pilot.. mtu analeta habari za manual 😀😀😀😀
Kuna Gari ukiiendesha Kama ni Auto haikupi Raha,niliendesha manual Mara ya mwisho wkt natumia Mazda rx-8 then nikatumia Sequential Manual Transmission (SMT) kwny Toyota Spyder kumbuka hii ni tofauti na manual gearbox tuliyoizoea lkn niliikubali kwa foleni za hapa mjini.
 
Hahahah mtt mzuri umeipenda ile Aston Martin nikupe as your next birthday gift?😍
Usijiongeleshe hapa kama mzaha. Ahadi ni den😂Haya mambo nimechoka kuyaona kwenye movie.
hivi hapa tz kuna wanaume besdei wanatoa hii zawadi?

Note: simaanishi wale wasanii wanaoende showroom kukodi za kuonesha mbele ya camera asubuhi zinarudishwa.

Namaanisha real men wapo hapa bongo?
 
Kuna Gari ukiiendesha Kama ni Auto haikupi Raha,niliendesha manual Mara ya mwisho wkt natumia Mazda rx-8 then nikatumia Sequential Manual Transmission (SMT) kwny Toyota Spyder kumbuka hii ni tofauti na manual gearbox tuliyoizoea lkn niliikubali kwa foleni za hapa mjini.
Ila kutokana na kukuwa kwa Techn, si pati picha magari ya huko mbeleni..
 
Usijiongeleshe hapa kama mzaha. Ahadi ni den😂Haya mambo nimechoka kuyaona kwenye movie.
hivi hapa tz kuna wanaume besdei wanatoa hii zawadi?

Note: simaanishi wale wasanii wanaoende showroom kukodi za kuonesha mbele ya camera asubuhi zinarudishwa.

Namaanisha real men wapo hapa bongo?
Real Men wamebaki Bhakressa, Said Simba wa GSM na Mo Dewji japo naskia Mo Bahili kuliko mimi 😂!!!
Mengi, Patel na Zakaria washadanja😂...lol!

Mie ningekuwa na ukwasi huo ningempa zawadi bibie 😄😄😀 maana mademu wa kibongo wengi chenga tupu! Unapewa zawadi ya gari 200M halafu unaanza visa vya ajabu mara tumeachana! Unagongwa na mwalimu wa GYM hahaha😅
 
Back
Top Bottom