Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
😅😅😅 umemaliza kila kitu, na huo ndio ukweliSio wimbo tu wimbo mtamu na vyote vilivyomo vitamu😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅 umemaliza kila kitu, na huo ndio ukweliSio wimbo tu wimbo mtamu na vyote vilivyomo vitamu😍
Hahahahah atleast ukiwa na chuma cha pekee unaweza jivunia! Ila una IST halafu unaning’iniza funguo hii mie imenishinda hata ningekuwa nina Rolce RoyceKuna gari basic mkuu, na kuna magari yasio basic 😀😀😀😀.. G Wagon 2021 sio basics chief.. ila Staret ni basics need kabisa 😀😀
Au Nasema uongo zanguuuuuuuuuu?ahahahHahahah kweli bana nimeona IST juzi ina ngao kama ndege! Nikashangaa af jamaa anaichochea balaa 😂😂😂 anakatisha mataa ya makaburini anaitafuta Mwenge!
Hayo madude ya vijana mie niko tofauti kidogo ndio maana Touareg inanikosha huwezi kuta ina miplastic ya ajabu ajabu!
😄😄😄😄 Wahenga utawajua tu.Phoenix nilikuwaga naonekana wa kishua, nilipewa kamoja kadogo dogo ka kua naenda nako shule, totoz zilikuwa zanishobokea.. maana ilikuwa mpyaaaaaa 😀😀😀😀
😀😀😀😀 Unakuta kaningiza key holder, funguo za gheto kama ng'ombe kawekea alama asipoteee.. huwezi kuta mwenge G wagon kaning'iniza funguoHahahahah atleast ukiwa na chuma cha pekee unaweza jivunia! Ila una IST halafu unaning’iniza funguo hii mie imenishinda hata ningekuwa nina Rolce Royce
😀😀😀😀😀 Maisha ya zamani yalikuwa raha yake, nikikumbuka zile moments nabakiz natabasamu tu😄😄😄😄 Wahenga utawajua tu.
Hamkosekani 😀😀😀Hahahah mtt mzuri umeipenda ile Aston Martin nikupe as your next birthday gift?😍
Haaahaaahaaahaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Ukitaka kuwajua masikini jeuri wa JF njoo kwenye huu uzi.
Ameua huyu😀😀😀
Hivi ndivyo vitu vyangu napenda ( naota hivo)
Asee sipendi hii tabia...wapare ndo zao hizi kuweka ngao
Chuma heshima hicho mkuu, kama pesa ipo kamata uki plus X6 unatulia zako safii kwenye vyuma vya maanaHivi ndivyo vitu vyangu napenda ( haota hivo)
Kuna Gari ukiiendesha Kama ni Auto haikupi Raha,niliendesha manual Mara ya mwisho wkt natumia Mazda rx-8 then nikatumia Sequential Manual Transmission (SMT) kwny Toyota Spyder kumbuka hii ni tofauti na manual gearbox tuliyoizoea lkn niliikubali kwa foleni za hapa mjini.Nikisikia mtu anazungumzia manual naona ananirudisha zamani.. mzungu anafanya maisha yawe mepesi hadi analeta magari auto pilot.. mtu analeta habari za manual 😀😀😀😀
Usijiongeleshe hapa kama mzaha. Ahadi ni den😂Haya mambo nimechoka kuyaona kwenye movie.Hahahah mtt mzuri umeipenda ile Aston Martin nikupe as your next birthday gift?😍
Ila kutokana na kukuwa kwa Techn, si pati picha magari ya huko mbeleni..Kuna Gari ukiiendesha Kama ni Auto haikupi Raha,niliendesha manual Mara ya mwisho wkt natumia Mazda rx-8 then nikatumia Sequential Manual Transmission (SMT) kwny Toyota Spyder kumbuka hii ni tofauti na manual gearbox tuliyoizoea lkn niliikubali kwa foleni za hapa mjini.
Msisahau kuweka na Bei zake,Kuna mtu atakaona ni kadogo dogo hivi adhani Kana Bei ya kama ya Vitz na hapo ndipo atajua hajui.
Real Men wamebaki Bhakressa, Said Simba wa GSM na Mo Dewji japo naskia Mo Bahili kuliko mimi 😂!!!Usijiongeleshe hapa kama mzaha. Ahadi ni den😂Haya mambo nimechoka kuyaona kwenye movie.
hivi hapa tz kuna wanaume besdei wanatoa hii zawadi?
Note: simaanishi wale wasanii wanaoende showroom kukodi za kuonesha mbele ya camera asubuhi zinarudishwa.
Namaanisha real men wapo hapa bongo?