Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Ewaaaaa mule mule...

Kwenye kunesa nesa Body la Nissan ndio mwenyewe,

Prado sijawahi kuendesha lkn wamiliki naona wanalalamika kuwa ukiwa kwenye mwendo mkali ni utafikiri unasukumwa na kitu kwa nyuma full kuweweseka, na ndio maana wanapiga ngwala sana! Sijui ni hizo suspensions
Prado ipi hio? Hii ya 2018-2021? Labda kama wanazungumzia ile j90 utopolo wa 1999 Prado zote kuanzia j120 ziko vizuri πŸ˜‚ siku ukipanda moja utaleta mrejesho!

Nissan ipi unayosemea wewe?
 
Si ndo maana hayo maisha nayaona kwenye movie, wazungu kumpa gari mwanamke ni kitu cha kawaida hata wakiachana kesho.ila mbongo ikitokea akakupa gari usitegemee akupe kadiπŸ˜‚
Huyo anakuwa kijana mkuu wangu, mwanaume hawezi fanya hivyo, ni utoto
 
....ila binafsi sijawahi ona mbio za saloon car honestly

Kuna majinga daily yanashindana barabarani hasa hawa majesta [emoji146], sienta, brevis, huwaga naamua kuwaonesha mfano wakileta dharau barabarani ninawapita kama wamesimama halafu huko mbele kwenye mataa nashusha kioo kimakusudi[emoji16][emoji16][emoji23]

Basi mkaka anakuangalia jicho baya la kikatili na akijua ni mdada ndo kaniletea ligi hiyo hasira ake haahaa[emoji16][emoji16]

Huwa nacheka sana sana, hii mida huwa ni saa 11 alfajiri hamna mifoleni kabisa!

Huu mchezo naupenda sana sana
Hiyo Majesta ya wapi ? Huenda pia wana kukaushia hasa kama mwenye majesta.. majesta wengi wapo smart hawataki mashindano na mtu.. kina brevis na Sienta hao wachape.. huenda unakutana na sedan zimekata lingi mkuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Duuh 2018-2021[emoji849][emoji849] wabongo wanaozimiliki ni wachache mno

Mengi ni ya serikali na wenye mkwanja

Huo huo utopoloo ndo majority wanamiliki full kupiga gwala
Huo kweli inasemekana una shida ya ma ball joints na kufyatuka matairi! Hizi za kuanzia J120 au Prado diamond zina feeling ya pekee sana acha kabisa yani, kwenda mpaka J150 za 2009 to present! Walisharekebisha hayo matatizo!
 
Hiyo Majesta ya wapi ? Huenda pia wana kukaushia hasa kama mwenye majesta.. majesta wengi wapo smart hawataki mashindano na mtu.. kina brevis na Sienta hao wachape.. huenda unakutana na sedan zimekata lingi mkuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
Majesta gani anapigwa na Brevis hio itakuwa Majesta ya kuchora ila ile yenye 4300cc V8 haiwezi sumbuliwa na watoto wadogo!
 
....ila binafsi sijawahi ona mbio za saloon car honestly

Kuna majinga daily yanashindana barabarani hasa hawa majesta [emoji146], sienta, brevis, huwaga naamua kuwaonesha mfano wakileta dharau barabarani ninawapita kama wamesimama halafu huko mbele kwenye mataa nashusha kioo kimakusudi[emoji16][emoji16][emoji23]

Basi mkaka anakuangalia jicho baya la kikatili na akijua ni mdada ndo kaniletea ligi hiyo hasira ake haahaa[emoji16][emoji16]

Huwa nacheka sana sana, hii mida huwa ni saa 11 alfajiri hamna mifoleni kabisa!

Huu mchezo naupenda sana sana
Unasukuma Murano nini? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Duuh 2018-2021[emoji849][emoji849] wabongo wanaozimiliki ni wachache mno

Mengi ni ya serikali na wenye mkwanja

Huo huo utopoloo ndo majority wanamiliki full kupiga gwala
Panda hata la STJ tu moja kisha utaniambiaπŸ˜… ongea na dereva wa serikali mmoja akupe ride!
 
Hiyo Majesta ya wapi ? Huenda pia wana kukaushia hasa kama mwenye majesta.. majesta wengi wapo smart hawataki mashindano na mtu.. kina brevis na Sienta hao wachape.. huenda unakutana na sedan zimekata lingi mkuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
Analeta utani huyo mwambie SUV inayotusumbua ni VXR na Y62 V8 ila kuanzia Prado na wengine wote tunapiga tunavyopenda!
 
Back
Top Bottom