Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prado ipi hio? Hii ya 2018-2021? Labda kama wanazungumzia ile j90 utopolo wa 1999 Prado zote kuanzia j120 ziko vizuri π siku ukipanda moja utaleta mrejesho!Ewaaaaa mule mule...
Kwenye kunesa nesa Body la Nissan ndio mwenyewe,
Prado sijawahi kuendesha lkn wamiliki naona wanalalamika kuwa ukiwa kwenye mwendo mkali ni utafikiri unasukumwa na kitu kwa nyuma full kuweweseka, na ndio maana wanapiga ngwala sana! Sijui ni hizo suspensions
Huyo anakuwa kijana mkuu wangu, mwanaume hawezi fanya hivyo, ni utotoSi ndo maana hayo maisha nayaona kwenye movie, wazungu kumpa gari mwanamke ni kitu cha kawaida hata wakiachana kesho.ila mbongo ikitokea akakupa gari usitegemee akupe kadiπ
Hiyo ni garbage kabisa mkuu.. product zipo nyingi tu mkuu.. mawazo yako tu hayo ππHahahah sawa we nahisi unawaza 0713
Duuh 2018-2021[emoji849][emoji849] wabongo wanaozimiliki ni wachache mnoPrado ipi hio? Hii ya 2018-2021? Labda kama wanazungumzia ule utopolo wa 1999
Total garbage indeed[emoji57][emoji57]Hiyo ni garbage kabisa mkuu.. product zipo nyingi tu mkuu.. mawazo yako tu hayo [emoji3][emoji3]
Upewe kadi ili iweje π ? Ukatambe na boya wako kwenye mashine niliotolea pesa mingi?Si ndo maana hayo maisha nayaona kwenye movie, wazungu kumpa gari mwanamke ni kitu cha kawaida hata wakiachana kesho.ila mbongo ikitokea akakupa gari usitegemee akupe kadiπ
Hiyo Majesta ya wapi ? Huenda pia wana kukaushia hasa kama mwenye majesta.. majesta wengi wapo smart hawataki mashindano na mtu.. kina brevis na Sienta hao wachape.. huenda unakutana na sedan zimekata lingi mkuu πππ.....ila binafsi sijawahi ona mbio za saloon car honestly
Kuna majinga daily yanashindana barabarani hasa hawa majesta [emoji146], sienta, brevis, huwaga naamua kuwaonesha mfano wakileta dharau barabarani ninawapita kama wamesimama halafu huko mbele kwenye mataa nashusha kioo kimakusudi[emoji16][emoji16][emoji23]
Basi mkaka anakuangalia jicho baya la kikatili na akijua ni mdada ndo kaniletea ligi hiyo hasira ake haahaa[emoji16][emoji16]
Huwa nacheka sana sana, hii mida huwa ni saa 11 alfajiri hamna mifoleni kabisa!
Huu mchezo naupenda sana sana
Huo kweli inasemekana una shida ya ma ball joints na kufyatuka matairi! Hizi za kuanzia J120 au Prado diamond zina feeling ya pekee sana acha kabisa yani, kwenda mpaka J150 za 2009 to present! Walisharekebisha hayo matatizo!Duuh 2018-2021[emoji849][emoji849] wabongo wanaozimiliki ni wachache mno
Mengi ni ya serikali na wenye mkwanja
Huo huo utopoloo ndo majority wanamiliki full kupiga gwala
Passo die hard.my dreamcar is passo[emoji3][emoji3][emoji3]
WHO IM I[emoji3]
Majesta gani anapigwa na Brevis hio itakuwa Majesta ya kuchora ila ile yenye 4300cc V8 haiwezi sumbuliwa na watoto wadogo!Hiyo Majesta ya wapi ? Huenda pia wana kukaushia hasa kama mwenye majesta.. majesta wengi wapo smart hawataki mashindano na mtu.. kina brevis na Sienta hao wachape.. huenda unakutana na sedan zimekata lingi mkuu πππ.
Unasukuma Murano nini? π π π....ila binafsi sijawahi ona mbio za saloon car honestly
Kuna majinga daily yanashindana barabarani hasa hawa majesta [emoji146], sienta, brevis, huwaga naamua kuwaonesha mfano wakileta dharau barabarani ninawapita kama wamesimama halafu huko mbele kwenye mataa nashusha kioo kimakusudi[emoji16][emoji16][emoji23]
Basi mkaka anakuangalia jicho baya la kikatili na akijua ni mdada ndo kaniletea ligi hiyo hasira ake haahaa[emoji16][emoji16]
Huwa nacheka sana sana, hii mida huwa ni saa 11 alfajiri hamna mifoleni kabisa!
Huu mchezo naupenda sana sana
Huenda nae witnessj ana push cha zaidi ya 4300cc ππMajesta gani anapigwa na Brevis hio itakuwa Majesta ya kuchora ila ile yenye 4300cc V8 haiwezi sumbuliwa na watoto wadogo!
Panda hata la STJ tu moja kisha utaniambiaπ ongea na dereva wa serikali mmoja akupe ride!Duuh 2018-2021[emoji849][emoji849] wabongo wanaozimiliki ni wachache mno
Mengi ni ya serikali na wenye mkwanja
Huo huo utopoloo ndo majority wanamiliki full kupiga gwala
Hapana mkuu...ila ni SUV ila sio ToyotaUnasukuma Murano nini? [emoji28][emoji28][emoji28]
Analeta utani huyo mwambie SUV inayotusumbua ni VXR na Y62 V8 ila kuanzia Prado na wengine wote tunapiga tunavyopenda!Hiyo Majesta ya wapi ? Huenda pia wana kukaushia hasa kama mwenye majesta.. majesta wengi wapo smart hawataki mashindano na mtu.. kina brevis na Sienta hao wachape.. huenda unakutana na sedan zimekata lingi mkuu πππ.