Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niwaombe madereva kibao hapa mabest, na yamejaa kama mchanga hadi ma V8Panda hata la STJ tu moja kisha utaniambia[emoji28] ongea na dereva wa serikali mmoja akupe ride!
Aseee mkuu natamani uone huo mtanange...kuelezea huwezi elewa[emoji848]Hiyo Majesta ya wapi ? Huenda pia wana kukaushia hasa kama mwenye majesta.. majesta wengi wapo smart hawataki mashindano na mtu.. kina brevis na Sienta hao wachape.. huenda unakutana na sedan zimekata lingi mkuu [emoji3][emoji3][emoji3].
Hahahahahaha ila VX-R ni unyama mwingi sana mle 😂😂😂 lile gari ni kubwa kinyama hata Y62 ni bonge la jigari yani kama unaendesha kagari kadogo ukipaki pembeni unaweza hisi umepaki pembeni ya Container 😅Analeta utani huyo mwambie SUV inayotusumbua ni VXR na Y62 V8 ila kuanzia Prado na wengine wote tunapiga tunavyopenda!
Awape taarifa mapema si kwa mapambio yale kwa wajapani.[emoji23][emoji23][emoji23]Wajapani wenzako wa JF wanajua kama una mawazo kama haya?[emoji16]
Sio bomba,liliitwa mgamba😀😀😀😀 lift, unambeba kwa mbele pale kwenye bomba
Mmmh[emoji16][emoji16]Analeta utani huyo mwambie SUV inayotusumbua ni VXR na Y62 V8 ila kuanzia Prado na wengine wote tunapiga tunavyopenda!
Ha ha ha...humu ni storee tu kula kwenu[emoji16][emoji16]Uko njema mrembo itabidi unipe ride siku moja [emoji7][emoji7][emoji7]
Ha ha haHahahahahaha ila VX-R ni unyama mwingi sana mle [emoji23][emoji23][emoji23] lile gari ni kubwa kinyama hata Y62 ni bonge la jigari yani kama unaendesha kagari kadogo ukipaki pembeni unaweza hisi umepaki pembeni ya Container [emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Wahuni nimeamua kuchangamsha kijiwe jiongezeni bana [emoji23][emoji23][emoji23] jukwaa lilipoa sana hili!
Na kuiweka mfukoni Kuna hatihati ya kupotea,mi naona kuining'iza ndo kwenyeweHahahah kuning’iniza funguo naonaga kama utoto! Gari ni kitu basic siku hizi sio lazma utafute identity kwa kuning’iniza funguo ku approve kuwa unalo!
Baby wangu akiona hii comment atanipiga kibuti bana[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Basi tuseme inshaallah maana ipo siku isio na jina tutakuwa wote kwenye hio chombo!
Ndio hilo hilo mkuu, ili kupunguza maumivu ya mkaaji tulikuwa tunaweka sponge flani kama kitambaa 😀😀Sio bomba,liliitwa mgamba
Hii ni kweli...kingine funguo kuuweka mfukoni unaharibu sensorNa kuiweka mfukoni Kuna hatihati ya kupotea,mi naona kuining'iza ndo kwenyewe