Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Hiyo Majesta ya wapi ? Huenda pia wana kukaushia hasa kama mwenye majesta.. majesta wengi wapo smart hawataki mashindano na mtu.. kina brevis na Sienta hao wachape.. huenda unakutana na sedan zimekata lingi mkuu [emoji3][emoji3][emoji3].
Aseee mkuu natamani uone huo mtanange...kuelezea huwezi elewa[emoji848]
 
Analeta utani huyo mwambie SUV inayotusumbua ni VXR na Y62 V8 ila kuanzia Prado na wengine wote tunapiga tunavyopenda!
Hahahahahaha ila VX-R ni unyama mwingi sana mle 😂😂😂 lile gari ni kubwa kinyama hata Y62 ni bonge la jigari yani kama unaendesha kagari kadogo ukipaki pembeni unaweza hisi umepaki pembeni ya Container 😅
 
Back
Top Bottom