[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23]Ooh weee!!! Dat nigga must be in deep shit now! Ni wivu tu...ni wivu tu!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahah yeah unaweza kuamua ku weave tu barabarani π π π ila ile njia sababu ya mataa watu wanakazaga miguu kaka hatari!ππππ. Huenda anawashinda wasio shindana .. kuna ile mtu upo na mbio zako unawapita watu wanakutazama tu, wala hawana issue
ππππππ huwa tunawachapa hadi wanakuja kutupa mikono ya heshima mkuu.. ngoja kesho nikae lugalo nikuone au kama nikae kabisa tank bovu nikufate kwa nyuma nyuma ili nione unachosema kweli au unatania tu ππAaah wapi ...sisi tunaamua kuwakaushia tu, mjidai msijione wanyonge
Matraffic wawanyanyase na sisi tuwanyanyase? Hell no....tunawaacha mvimbe barabarani
Ila mkituchosha na misifa yenu, ndo hivo tunafungulia turbo tunawaachia manyoya tu
Haina ndafaa mkuuKesho nitakaa pale lugalo.. nione huo moto [emoji3][emoji3]
ππππ Call out....kuna mtu alijichanganya kwa 2GR na VX yake hakuamini!Niambie unatumia barabara gani, nidamke siku moja alfajiri nishuhudie ππ
Unakuwa msala sana, hasa na alie ibiwa gari akutwe alikufa.. ndio utajua hujuiHasa ukija nayo Danta si ndio inakuwa msala au?
Kuandikia mate ya nini...nataka nikudhalilishe wewe wewe uje utoe ushuhuda humu na usifiche ukweli..let's game show up[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huwa tunawachapa hadi wanakuja kutupa mikono ya heshima mkuu.. ngoja kesho nikae lugalo nikuone au kama nikae kabisa tank bovu nikufate kwa nyuma nyuma ili nione unachosema kweli au unatania tu [emoji3][emoji3]
Ndio msala wenyewe.....Hasa ukija nayo Danta si ndio inakuwa msala au?
Mi ntakuwa navigator wa Holly Man π π π nagawa Marks! Nataka nione kichapo kitakatifu ili tuone nani atampa mwenzie mkono wa pongezi!Kuandikia mate ya nini...nataka nikudhalilishe wewe wewe uje utoe ushuhuda humu na usifiche ukweli..let's game show up
Uko tayari?
Asee mwamba ajipange...aint joking at allMi ntakuwa navigator wa Holly Man [emoji28][emoji28][emoji28] nagawa Marks! Nataka nione kichapo kitakatifu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mie mnyonge, nakarisha VX kibao ya mwisho nilimchapa hakuanini alicho kiona, nilikuwa namtunzia heshima ya kucheza tu nyuma yake, ku prove kwamba hana ubavu. Akavimba, na mie nika place sport mode.. hakuniona tena amekuja nikuta sehemu nimepaki kigari nakula mahindi ya wanyamwezi matamu hadi kisogoni, nae akaja kupaki anakashangaa kagari anauliza uliza maswali ππππ alikuwa anahisi ni ka IST kaliko changamkaππππ Call out....kuna mtu alijichanganya kwa 2GR na VX yake hakuamini!
Siku hizi kwakua nipo tu Dar kuna mida najisikia kusikia ka sound ka kibabe .. huwa nachezea mitaa flani.. natia sport nakafinya ila sishindani na mtu, huwa ni mwenyewe ile nafurahi tu ππ na mziki wangu mkubwa kama nimekula dawaHahahahah yeah unaweza kuamua ku weave tu barabarani π π π ila ile njia sababu ya mataa watu wanakazaga miguu kaka hatari!
Kipande ya Kuanzia mataa ya Jangid Plaza huwa watu wanafungua balaa mpaka mataa ya Palm beach pale hasa ikiwa hamna traffic patamu sana. One day nilikutana na li M5 mule aisee sio poa!
Usichezee kabisa moto wetu , ukute tupo serious, utavaa aibuMmmh[emoji16][emoji16]
Sasa mkuu we kijana unashindana na VX..Hata mie mnyonge, nakarisha VX kibao ya mwisho nilimchapa hakuanini alicho kiona, nilikuwa namtunzia heshima ya kucheza tu nyuma yake, ku prove kwamba hana ubavu. Akavimba, na mie nika place sport mode.. hakuniona tena amekuja nikuta sehemu nimepaki kigari nakula mahindi ya wanyamwezi matamu hadi kisogoni, nae akaja kupaki anakashangaa kagari anauliza uliza maswali [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] alikuwa anahisi ni ka IST kaliko changamka
Mziki mkubwa ukiwa unadrive ni hatari sana, Kuna ishu ilinikuta (sitahadithia humu) nilijutaSiku hizi kwakua nipo tu Dar kuna mida najisikia kusikia ka sound ka kibabe .. huwa nachezea mitaa flani.. natia sport nakafinya ila sishindani na mtu, huwa ni mwenyewe ile nafurahi tu [emoji3][emoji3] na mziki wangu mkubwa kama nimekula dawa