Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Inakuwa kama hivi πππ.. nilikuwa zaidi ya 220kmhMfano tairi limebust we uko kwenye mziki mnene utaonaje kwenye dashboard?[emoji134]
Atakuja kutuwakilisha , tunakuachie yeye master wetu .. tusije leta aibu kwa dereva wengine ππVip mkuu mbona umeshangaa?
Ha ha ha huyo ameshangaa vingine trust me[emoji1787][emoji1787]Atakuja kutuwakilisha , tunakuachie yeye master wetu .. tusije leta aibu kwa dereva wengine [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mie siwezi mkuu.. nikupe RRONDO au ISO M.CodD ndio ma master wetu, sie wanafunzi huenda tukachafua heshima ya jukwaa na heshima ya madereva kwa ujumla kwa kubuluzwa na mdada [emoji3][emoji3][emoji3]
Una vi Y62 V8, unataka shindana na ist iliyo changamka, lazima ashangae πππHa ha ha huyo ameshangaa vingine trust me[emoji1787][emoji1787]
Lodge yenye miguu minne πππHeheheheh Lodge inayotembea
Muhimu, lazima mtu apasuliwe bila ganzi ππAkikubali tunaruka nae π π π
Nimestaafu mkuu....ila nakuaminia hutatuangusha!Mie siwezi mkuu.. nikupe RRONDO au ISO M.CodD ndio ma master wetu, sie wanafunzi huenda tukachafua heshima ya jukwaa na heshima ya madereva kwa ujumla kwa kubuluzwa na mdada πππ
πππππ, muhimu aweke wazi siraha yake kwanzaNimestaafu mkuu....ila nakuaminia hutatuangusha!
Nunda bila uwezo utapasua engine. Mtu anakukalia kulia Mita 100 nyuma hata ukukuruke vipi anapita.Aaah wapi...hamjakutana na manunda nyie[emoji16]
Kuanzisha ugomvi bila kujua nguvu ya adui ni suicidalπππππ, muhimu aweke wazi siraha yake kwanza
Ya hali ya juu, na unakuwa ume fail kimedani.. unaeza kwenda na siraha kubwa sana au siraha ndogo sana ππ... ukajipatia aibu safiiKuanzisha ugomvi bila kujua nguvu ya adui ni suicidal
Vitu kama hivi nime vi miss sana, ila acha tutulie kwanza kwa nyakati hizi πNunda bila uwezo utapasua engine. Mtu anakukalia kulia Mita 100 nyuma hata ukukuruke vipi anapita.
Ha ha haAkikubali tunaruka nae [emoji28][emoji28][emoji28]
Ha ha ha uwii mbavu zanguVitu kama hivi nime vi miss sana, ila acha tutulie kwanza kwa nyakati hizi [emoji846]
Ila ligi na wewe nimepata kibali cha wakuu zangu, kesho alfajiri na mepama nitakusubiri tangi bovu, tuzichape hadi pale mwenge tu.. inakuwa inatosha πππHa ha ha uwii mbavu zangu