Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Haahaahaahaa

Huyo kakimbia nimemsubiri mbuyuni Sion cha starlet wala nini [emoji16][emoji16]

Holy Man
 

Bei yake vp
 
Ni wapuuzi kidogo? Nilishawahi kushuka kabla hatujafika tunakoenda.

Nikamwambia bro siku ukibasti nauambia ukoo hata wasilie maana umepata ulichokuwa unatafuta kwa jitihada zako
Hahahahah huo ujinga wa kuzungusha gari siku itakuja kumkataa mtu ije kuwa simanzi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…!

Inaonekana bro wako alikuwa anapambana sana kukimbia kimbia hovyo na ku overtake kiajabu πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…