Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Kama kulikuwa na mabadiliko ya ratiba mngetutangazia[emoji3][emoji3][emoji3]nimekaa hapa mbuyuni toka alfajir wakati gari zinawasha headlights mpaka muda huu sijaona ile starlet wala gari yako kwenye dragrace mliyotuahidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haahaahaahaa

Huyo kakimbia nimemsubiri mbuyuni Sion cha starlet wala nini [emoji16][emoji16]

Holy Man
 
Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!

View attachment 1841907View attachment 1841908View attachment 1841909


Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!

Bei yake vp
 
Ni wapuuzi kidogo? Nilishawahi kushuka kabla hatujafika tunakoenda.

Nikamwambia bro siku ukibasti nauambia ukoo hata wasilie maana umepata ulichokuwa unatafuta kwa jitihada zako
Hahahahah huo ujinga wa kuzungusha gari siku itakuja kumkataa mtu ije kuwa simanzi 😅😅😅!

Inaonekana bro wako alikuwa anapambana sana kukimbia kimbia hovyo na ku overtake kiajabu 😅
 
Ipo siku nitakuwa humu ndani ya mkorea.
View attachment 1845573View attachment 1845574
20210708_103312.jpg
 
Back
Top Bottom