Ndio mkuu,conversion nilinunua Suncore brand kwa $1100,wkt air suspension ilikua igharimu $1825 bila ufundi hapo.Conversion kit ni nafuu?
Hahah umenikumbusha jirani yangu mmoja hivi ana gari inaitwa TATA Safari Vx,hua namchek tu nikiwaza alifikiria nini kununua hio gari.Mashine kali sana. Kiukweli gari inaweza kuwa kali ila badge ikaishusha. Mfano hii gari ingekuwa na badge ya BMW,BENZ ingekuwaje?!! Au chukulia VW Amarok ipachike badge ya TATA utaikubali?
Wame poach designers from Bentley/Audi kwa ajili ya muonekano wa nje,pia walichukua chief engineer toka BMW M division kwa ajili ya tuning ya magari yao upande wa chassis , suspension na driving dynamics.Naikubali sana KIA kwa mara ya kwanza wamenikosha na wana gari nzuri sana sahizi naona wale ma designer wa zamani washafutwa kazi [emoji28][emoji28][emoji28]
Ukitaka kuendesha brand new car 'kirahisi' njia ni hio TATA au HYUNDAI na KIAHahah umenikumbusha jirani yangu mmoja hivi ana gari inaitwa TATA Safari Vx,hua namchek tu nikiwaza alifikiria nini kununua hio gari.
Hyundai na Kia ni good value for money.Yeah gari zao bei ya mtori sana 😅
Kuna garage Arusha niliikuta Santa-fe mwenye nayo akawa anashauriwa na fundi aweke engine ya Rav 4 kwny hio gari, sijui waliishia wapiUkitaka kuendesha brand new car 'kirahisi' njia ni hio TATA au HYUNDAI na KIA
Watu wengi hawajui kuwa ile floating experience ya kwenye hizi SUV ni sababu ya Air suspensions! Gari yeyote yenye Air suspension ina super comfortable ride!Kwny LR3 air suspension zake zilichoka bei yake ya ku replace ilikua balaa ikabidi tu kununua coil conversion kit.
Sijajua kwny majesta gharama zake zikoje air suspension zikichoka.
Ila kwa ule mneso wa air suspension gharama zake it's worth it.
Sante Fe nazipenda sana.Kuna garage Arusha niliikuta Santa-fe mwenye nayo akawa anashauriwa na fundi aweke engine ya Rav 4 kwny hio gari, sijui waliishia wapi
Hizi gari Nameless kwa hapa bongo ni kujitaftia mabalaa tu 😅😅😅labda uwe na uwezo wa kumpandisha ndege fundi Nairobi aje na spare parts zake!Kuna garage Arusha niliikuta Santa-fe mwenye nayo akawa anashauriwa na fundi aweke engine ya Rav 4 kwny hio gari, sijui waliishia wapi
Inaonekana ni gari poa,sijawahi kuijua Sana.Sante Fe nazipenda sana.
Haka ka Lexus ningekuwa na mtonyo ningekaweka kwenye fleet yangu nakapenda sana kibanda wazi af kikali😅Mfano Lexus Sc430 parts zake za front suspension zinaingiliana na Crown majesta,rear suspension zinaingiliana na Grande mark 2(gx 110) na Kuna parts kibao za Toyota celsior zinaingiliana na Lexus sc430.
Hahah lkn mbona wahindi wanazo kwa wingi Sana hapa bongo mkuu?Hizi gari Nameless kwa hapa bongo ni kujitaftia mabalaa tu 😅😅😅labda uwe na uwezo wa kumpandisha ndege fundi Nairobi aje na spare parts zake!
Ushasema wahindi mkuu! Mtu mwenye uwezo wa kulipa kodi ya mwaka mzima analala ghorofani mnazi mmoja au Posta sio mtu wa kushindwa kuhudumia gari la service cost ya mil.10 kwa mwaka!Hahah lkn mbona wahindi wanazo kwa wingi Sana hapa bongo mkuu?
Hahah afu watu hawaijui Wala nini,iko poa Sana.Haka ka Lexus ningekuwa na mtonyo ningekaweka kwenye fleet yangu nakapenda sana kibanda wazi af kikali😅
Hahah sawa mzee babaUshasema wahindi mkuu! Mtu mwenye uwezo wa kulipa kodi ya mwaka mzima analala ghorofani mnazi mmoja au Posta sio mtu wa kushindwa kuhudumia gari la service cost ya mil.10 kwa mwaka!
Hahah umenikumbusha Pajero V6 3.5 Yale ma old skuli ya enzi hizo, Kuna mwana walikua nalo kwao,ilikua na air suspension aisee Ile Gari ilikuaga inanesa kishenzi,yaani hata ikisimama kwny mataa road mneso wake huko nyuma sio wa mchezo.,lilivyokufaga air suspension likapakiwa mazima enzi hizo.Watu wengi hawajui kuwa ile floating experience ya kwenye hizi SUV ni sababu ya Air suspensions! Gari yeyote yenye Air suspension ina super comfortable ride!
Nakumbuka mzee alinunuaga NISSAN TERRANO boxy la 1995 lile ila lilikuwa V6 auto aisee ile raha yake kulipanda ilikuwa beyond expected level! Ndani tulivu mziki laini ila sasa lilipoanza kuzingua Suspension alikuja Dar akamaliza maduka ILALA sijui kuja kupatikana pair bei ikaja 1M😅😅😅!
Hahahha amna namna unabadilisha tu unaweka shockup za kawaida sa utafanyaje😅😅😅 mneso unaisha unaanza kuzisikilizia rastaHahah umenikumbusha Pajero V6 3.5 Yale ma old skuli ya enzi hizo, Kuna mwana walikua nalo kwao,ilikua na air suspension aisee Ile Gari ilikuaga inanesa kishenzi,yaani hata ikisimama kwny mataa road mneso wake huko nyuma sio wa mchezo.,lilivyokufaga air suspension likapakiwa mazima enzi hizo.
Mchizi kalifufua mwaka juzi,kaweka suspension za KYB.