Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Mashine kali sana. Kiukweli gari inaweza kuwa kali ila badge ikaishusha. Mfano hii gari ingekuwa na badge ya BMW,BENZ ingekuwaje?!! Au chukulia VW Amarok ipachike badge ya TATA utaikubali?
Hahah umenikumbusha jirani yangu mmoja hivi ana gari inaitwa TATA Safari Vx,hua namchek tu nikiwaza alifikiria nini kununua hio gari.
 
Naikubali sana KIA kwa mara ya kwanza wamenikosha na wana gari nzuri sana sahizi naona wale ma designer wa zamani washafutwa kazi [emoji28][emoji28][emoji28]
Wame poach designers from Bentley/Audi kwa ajili ya muonekano wa nje,pia walichukua chief engineer toka BMW M division kwa ajili ya tuning ya magari yao upande wa chassis , suspension na driving dynamics.

Ndio maana leo wana kia stinger, Genesis G 70 (salon), Hyundai Elantra N line ambazo ni sport sedans tamu kuliko baadhi ya gari za mjerumani.
 
Kwny LR3 air suspension zake zilichoka bei yake ya ku replace ilikua balaa ikabidi tu kununua coil conversion kit.

Sijajua kwny majesta gharama zake zikoje air suspension zikichoka.

Ila kwa ule mneso wa air suspension gharama zake it's worth it.
Watu wengi hawajui kuwa ile floating experience ya kwenye hizi SUV ni sababu ya Air suspensions! Gari yeyote yenye Air suspension ina super comfortable ride!

Nakumbuka mzee alinunuaga NISSAN TERRANO boxy la 1995 lile ila lilikuwa V6 auto aisee ile raha yake kulipanda ilikuwa beyond expected level! Ndani tulivu mziki laini ila sasa lilipoanza kuzingua Suspension alikuja Dar akamaliza maduka ILALA sijui kuja kupatikana pair bei ikaja 1M😅😅😅!
 
Kuna garage Arusha niliikuta Santa-fe mwenye nayo akawa anashauriwa na fundi aweke engine ya Rav 4 kwny hio gari, sijui waliishia wapi
Hizi gari Nameless kwa hapa bongo ni kujitaftia mabalaa tu 😅😅😅labda uwe na uwezo wa kumpandisha ndege fundi Nairobi aje na spare parts zake!
 
Sante Fe nazipenda sana.
Inaonekana ni gari poa,sijawahi kuijua Sana.

Nilienda siku flani agha Khan school,nikakuta wazee wa kihindi wanaleta watoto wao hapo shule, aisee hizo sante-fe zimejaa balaa so kikawa ni kipimo cha uimara wa Gari Ile maana wahindi wao mambo ya economy & reliability ndio mambo yao hayo
 
Mfano Lexus Sc430 parts zake za front suspension zinaingiliana na Crown majesta,rear suspension zinaingiliana na Grande mark 2(gx 110) na Kuna parts kibao za Toyota celsior zinaingiliana na Lexus sc430.
Haka ka Lexus ningekuwa na mtonyo ningekaweka kwenye fleet yangu nakapenda sana kibanda wazi af kikali😅
 
Watu wengi hawajui kuwa ile floating experience ya kwenye hizi SUV ni sababu ya Air suspensions! Gari yeyote yenye Air suspension ina super comfortable ride!

Nakumbuka mzee alinunuaga NISSAN TERRANO boxy la 1995 lile ila lilikuwa V6 auto aisee ile raha yake kulipanda ilikuwa beyond expected level! Ndani tulivu mziki laini ila sasa lilipoanza kuzingua Suspension alikuja Dar akamaliza maduka ILALA sijui kuja kupatikana pair bei ikaja 1M😅😅😅!
Hahah umenikumbusha Pajero V6 3.5 Yale ma old skuli ya enzi hizo, Kuna mwana walikua nalo kwao,ilikua na air suspension aisee Ile Gari ilikuaga inanesa kishenzi,yaani hata ikisimama kwny mataa road mneso wake huko nyuma sio wa mchezo.,lilivyokufaga air suspension likapakiwa mazima enzi hizo.

Mchizi kalifufua mwaka juzi,kaweka suspension za KYB.
 
Hahahha amna namna unabadilisha tu unaweka shockup za kawaida sa utafanyaje😅😅😅 mneso unaisha unaanza kuzisikilizia rasta
 
Back
Top Bottom