Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Aaah wapi....kuuza damu nimo, figo, yaan hata wewe ukibugi nakuuza, cha maana chapaa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jokes aside hela hamna haki tena sijui ni hii wave tatu
Wave ya tatu ya wapi tena jamani, mbona sie huku madongo kuinama hatuna hizo taarifa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. mama si kaachia lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…