Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Hizo ni Wagons au Estates?Hii uta create a lot of attention. Kuna vyuma vya kibabe ambavyo vinaonekana kama gari za kawaida- Hapa naongelea hizi wagons: RS6, E63, V60 Polestar n.k.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni Wagons au Estates?Hii uta create a lot of attention. Kuna vyuma vya kibabe ambavyo vinaonekana kama gari za kawaida- Hapa naongelea hizi wagons: RS6, E63, V60 Polestar n.k.
Nafikiri UK zinaitwa Estates na US zinaitwa Wagons.Hizo ni Wagons au Estates?
Asee respect...napenda sana mambo haya[emoji122][emoji122]E63s ndio hii eeh [emoji846][emoji846]
Extrovert witnessj [emoji846][emoji846][emoji846] wazee wa furniture za ndani
View attachment 1849971View attachment 1849972View attachment 1849973View attachment 1849974
Mimi nimeamua kuingia chimbo...siku narudi jf ntawapigia mifenicha kama hii na mimi nikidrive[emoji16][emoji16]Huo moto wa kuotea mbali huo! Dude walilipatia sana aisee hii design ndio best ever katika mercedes benz zote ukiacha generation ya 3!
Fanicha za ndani humo ni hatari sana mzee
Anapewa buureKwenye hili gheto mambo ya utelezi ni chap tu [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16] acheni mitusiEeh we ni kuvuta na kupiga lita tu huku ukibonyeza viembe sindano kwa mbali [emoji28][emoji28][emoji28]
Labda usukume kete...Maza nae haeleweki daah[emoji134]Mkuu Nzi haya mambo ni mazuri sana, nikipata kazi kubwa kubwa kama nne hivi naweza mudu hizi, maana kama wadau walio nizunguka wana gari zenye thamani kubwa zaidi ya hii .. hata mie one day yes
Unajianzishia misafari tu haina mbele wala nyuma...[emoji16]Kwa gari kama hii wengine kutwa tutakuwa barabarani [emoji3][emoji3]
Tafuta pesa tu na yatakuwa yakoAsee respect...napenda sana mambo haya[emoji122][emoji122]
😀😀😀😀😀Anapewa buure
Mbona mama fresh tu, ukinata ba bitiLabda usukume kete...Maza nae haeleweki daah[emoji134]
Unakula ma perdiem tuUnajianzishia misafari tu haina mbele wala nyuma...[emoji16]
Tushirikishanee unapochimbia hizo hela 🙂Mimi nimeamua kuingia chimbo...siku narudi jf ntawapigia mifenicha kama hii na mimi nikidrive[emoji16][emoji16]
Holy Man
Hela ziko wapi sasa tusukume mashine za maana road[emoji848]Mbona mama fresh tu, ukinata ba biti
Sasa je[emoji16]Unakula ma perdiem tu
Aaah wapi....kuuza damu nimo, figo, yaan hata wewe ukibugi nakuuza, cha maana chapaa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tushirikishanee unapochimbia hizo hela [emoji846]
Wave ya tatu ya wapi tena jamani, mbona sie huku madongo kuinama hatuna hizo taarifa 😀😀😀.. mama si kaachia lakiniAaah wapi....kuuza damu nimo, figo, yaan hata wewe ukibugi nakuuza, cha maana chapaa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jokes aside hela hamna haki tena sijui ni hii wave tatu
Hela zipo huku madongo kuinama, Dar nyie si watu wakuu wa kutumia hela 😀😀Hela ziko wapi sasa tusukume mashine za maana road[emoji848]
Mcheki Extrovert akupe michongo 🙂🙂Hela ziko wapi sasa tusukume mashine za maana road[emoji848]