Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!
Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!