Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Real Men wamebaki Bhakressa, Said Simba wa GSM na Mo Dewji japo naskia Mo Bahili kuliko mimi 😂!!!
Mengi, Patel na Zakaria washadanja😂...lol!

Mie ningekuwa na ukwasi huo ningempa zawadi bibie 😄😄😀 maana mademu wa kibongo wengi chenga tupu! Unapewa zawadi ya gari 200M halafu unaanza visa vya ajabu mara tumeachana! Unagongwa na mwalimu wa GYM hahaha😅
Hata ukiwa na hela ya kuchezea usimpe gari mwanamke ambae huna malengo nae.
 
Hata ukiwa na hela ya kuchezea usimpe gari mwanamke ambae huna malengo nae.
Ujue gari kwa wengine kama ni simu mkuu.. kitu kidogo sana kwenye wenye roho za ki rasi.. mapenzi kujengana hata kama mtaachana.. kama hela ipo una mpa tu ... 😀😀😀
 
Sedan zipo sex hatari, inategema unatembelea sedan gani.. sema zinataka nidhamu kutokana na barabara zetu, mie SUV hata ulete ya aina gani siitaki naenda chini tu [emoji846]
Kila mtu kitu anachopenda....binafsi napenda SUV

Na sio kwamba sijawahi endesha hizo saloon car nimeziendesha then nikahamia kwenye SUV ule utofauti wa kunesa juu na kuburuza chini, hapo ndo nilifanya maamuzi..
 
Hahahah gari ya mzungu ina burudani yake hasa ikiwa ya juu juu😅 hata gari za mjapani za juu juu kama prado inabembeleza sana ikiwa na Air suspensions!

Kinacholeta floating feeling ni air suspensions ndio maana unasikia burudani ila gari ya mzungu ni nzito zaidi ndio maana imetulia halafu wanafunga ma turbo inachanganya haraka sana!😅😅😅
Mkuu acha kabisa..

Ujue nyie ( wewe na holy) mnalionaga tu hamjawahi kuingia ndani na kulitekenya (kuwasha), ukafungua music [emoji134][emoji134]

Gari lile ni ndege ya ardhini, kitu kimetulia barabarani, sterling laini soft kama ngozi ya Zari

Aah acha nitafute hela asee, yule mzungu anaenjoy asee na huu mchuma[emoji848]
 
Kila mtu kitu anachopenda....binafsi napenda SUV

Na sio kwamba sijawahi endesha hizo saloon car nimeziendesha then nikahamia kwenye SUV ule utofauti wa kunesa juu na kuburuza chini, hapo ndo nilifanya maamuzi..
Ni kweli, kabisa. Pia wengine tunapenda ma mbio that why sedan inabaki kuwa namba moja.. SUV ni tamu sana
 
😀😀😀😀 vya bure havipo ukweli, cha kwanza lazima uwe na product mfanye exchange. Ni kweli ipo siku yako tu mkuu utapata, hata mmbuyu ulianza kama majani
Product gani zaidi ya service ya utelezi 😅😅😅 maana ndio kitu pekee utapewa tu na kuitwa majina mazuri!
 
Kila mtu kitu anachopenda....binafsi napenda SUV

Na sio kwamba sijawahi endesha hizo saloon car nimeziendesha then nikahamia kwenye SUV ule utofauti wa kunesa juu na kuburuza chini, hapo ndo nilifanya maamuzi..
Hahahah unapenda kunesa nesa hewani 😅😅😅 aisee hio feeling ndio hata mie ninayoipenda sema upate ambalo liko stable with anti roll bars kama za mjerumani! Maana mie napenda kukimbia hasa nikiwa route ndefu gari isepe 😅😅😅!!! Touareg performance inakup hadi 280km/h
 
Nimegundua madem wengi wanapenda SUV’s kuliko tugari twa chini tule!😅😅😅
Ndio ila kuna gari za chini zina heshima zake and very expensive sasa ukute mtu kapaki RR si inabidi apishwe kwa umakini isikwanguliwe na vyombo vingine wa usafiri😂😂😂
 
Back
Top Bottom