luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Hata ukiwa na hela ya kuchezea usimpe gari mwanamke ambae huna malengo nae.Real Men wamebaki Bhakressa, Said Simba wa GSM na Mo Dewji japo naskia Mo Bahili kuliko mimi 😂!!!
Mengi, Patel na Zakaria washadanja😂...lol!
Mie ningekuwa na ukwasi huo ningempa zawadi bibie 😄😄😀 maana mademu wa kibongo wengi chenga tupu! Unapewa zawadi ya gari 200M halafu unaanza visa vya ajabu mara tumeachana! Unagongwa na mwalimu wa GYM hahaha😅