Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujistukia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanapima ubavu nao waonekane wamo
Kama yako iko naked dumbukiza tu kwa mufuko wako[emoji16]Sensor eeh! Kwa tusio tumia sensor mwendo wa mfukoni ty
...Halafu uwe bar mziki mkuuubwa, hata gari lilivyolia milango kufunguka hujasikia, utajua hujuiMuda mwingine umeweka funguo mfukoni Mara ktk ukaaji uibonyeze remote bila wewe mwenyewe kujua milango iko wazi tayari hapo.
Unakuta manyoya tu.
Utakuwa umeanza kuwa babu magegoo[emoji16]Sidhani kama ni ile , nimejikuta nakuwa mvivu kila nikitaka kupeleka moto najikuta mzito sanaa.. juzi kati nilikuwa na ka trip kadogo, hadi ist walikuwa wana nichakaza [emoji3][emoji3]
Ukijua mambo ayapendayo anatoa hadi senti ya mwisho .. 😀😀Huyo bahili ataweza kweli[emoji16][emoji16]
😀😀😀😀😀 , mfukoni inatulia vizuri kabisaKama yako iko naked dumbukiza tu kwa mufuko wako[emoji16]
Tunachoka tu, tushapiga ligi nyingi.. tumeona uwezo wetu.. nasubiri siku nikivuta kitu cha 600HP nifanye ligi ya mwisho kama atatokea mtu wa kufukuzana nae.. ila kwa vigari ambavyo ninavyo sasa hivi hapana😀😀😀Utakuwa umeanza kuwa babu magegoo[emoji16]
Aaah zaidi ya utelezi sijawahi ona akiandika jipya[emoji1787][emoji1787][emoji23]( akija ananipasua)Ukijua mambo ayapendayo anatoa hadi senti ya mwisho .. [emoji3][emoji3]
Inabidi mumkalishe chini, mumuelekeze maisha sio utelezi tu, kuna zaidi ya hapo.🙂Aaah zaidi ya utelezi sijawahi ona akiandika jipya[emoji1787][emoji1787][emoji23]( akija ananipasua)
Haaahaaa namtania jamani uwiiiInabidi mumkalishe chini, mumuelekeze maisha sio utelezi tu, kuna zaidi ya hapo.[emoji846]
Mzee wa kuuma na kupuliza!!Product zipo nyingi mkuu , hiyo ya utelezi mawazo yako tu
Kwani uongo sasa 😀😀😀.. mumkalishe mtu wenu agundue kwamba utelezi sio kila kitu kuna mambo mazuri zaidi ya utelezi.. mfanye kumfunda 🙂🙂Haaahaaa namtania jamani uwiii
😳😳Kuandikia mate ya nini...nataka nikudhalilishe wewe wewe uje utoe ushuhuda humu na usifiche ukweli..let's game show up
Uko tayari?
Hatari sana hii.. ila kama zina sensor unajua, utaona kwenye dashboardExactly...umelenga mle mle
Mfano tairi limebust we uko kwenye mziki mnene utaonaje kwenye dashboard?[emoji134]Hatari sana hii.. ila kama zina sensor unajua, utaona kwenye dashboard
Vip mkuu mbona umeshangaa?[emoji15][emoji15]
Mie siwezi mkuu.. nikupe RRONDO au ISO M.CodD ndio ma master wetu, sie wanafunzi huenda tukachafua heshima ya jukwaa na heshima ya madereva kwa ujumla kwa kubuluzwa na mdada 😀😀😀Kuandikia mate ya nini...nataka nikudhalilishe wewe wewe uje utoe ushuhuda humu na usifiche ukweli..let's game show up
Uko tayari?
Best yako huyo bana mtajuana wenyeweKwani uongo sasa [emoji3][emoji3][emoji3].. mumkalishe mtu wenu agundue kwamba utelezi sio kila kitu kuna mambo mazuri zaidi ya utelezi.. mfanye kumfunda [emoji846][emoji846]