Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Hii chuma unakaa na msela wako tu wa damu, mnachapa mwendo wa kibabe mziki mnene yaani maisha yanakuwa ni mule mule ๐๐๐๐.. tunakiwasha zetu Dar to Mwanza kula mabata..Tatizo itakuwa gumzo mji mzima unaweza ukashangaa umekuwa celeb bila kushika mic