Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ hii unanikumbusha majuzi, nilikuta kuna Crown, Brevis na IST zichuana hatari, mie nikawa nawafukuza kimya kimya nilikuwa na enjoy kuona ligi yao sikuruhusu waniache, nikawa najiuliza ile IST ina nini , kalikuwa na nguvu ya jabu sana, badae na mie nikaungaaa, kama kawa nikaweka sport mode, chap nimewakata, nikahakikisha hawanioni na siwaoni ndio nikarudi kwenye mwendo wa kawaida yule mwenye Brevi tokea pale akawaacha wenzake nae akawa nyuma yangu hakuta nipita tena, hadi nimefika kwenye point yangu ta mwisho ndio akaendelea zake nae ... hakuamini nilivyo chana wimbi naona
Wa IST huenda alikuwa na 1800cc huyo
 
Back
Top Bottom