Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Hahaha hizo tutaishia kuziona kwny tv tu,uwezo wa wanyonge ni kununua used SUV's za Bei inayorange hapo kwny 20mil-30mil.
Nimeshangaa huyo muungwana anaiponda prado anasema full kuigana......!
bongo gari zetu tunazijua.....
umejikongoja saana 20mil....
ama 40mil..
umejikamua utumbo 80 mil....
akitaka upekee aende kwenye hizo gari za mil 500....
hapo nimeruka ya ten ten....
 
Nimeshangaa huyo muungwana anaiponda prado anasema full kuigana......!
bongo gari zetu tunazijua.....
umejikongoja saana 20mil....
ama 40mil..
umejikamua utumbo 80 mil....
akitaka upekee aende kwenye hizo gari za mil 500....
hapo nimeruka ya ten ten....
'hapo nimeruka ya ten ten....'

Hahah hio sentensi inafurahisha Sana.
 
Hili majesta la zamani. lile jipya haligusi chini hata kidogo ena linapenda rough road
Kwny LR3 air suspension zake zilichoka bei yake ya ku replace ilikua balaa ikabidi tu kununua coil conversion kit.

Sijajua kwny majesta gharama zake zikoje air suspension zikichoka.

Ila kwa ule mneso wa air suspension gharama zake it's worth it.
 
Mashine kali sana. Kiukweli gari inaweza kuwa kali ila badge ikaishusha. Mfano hii gari ingekuwa na badge ya BMW,BENZ ingekuwaje?!! Au chukulia VW Amarok ipachike badge ya TATA utaikubali?
😅😅😅😅😅 Amarok kuwa TATA hio uongo yani kila nikion mibasi ya TATA nazidi kusikia kinyaa!

Mzigo ungekuwa wa Benz huo ungekuwa level za Rolce Royce Cullinan! Ni gari kali sana kwa kweli ila tatizo KIA!
 
Back
Top Bottom