RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Hapana. Lexus GS pacha wake Toyota Aristo. Toyota Crown ni luxury sedan ya TOYOTA.Alteza---lexus IS
Crown-----Lexus Gs
Celsior-----Lexus LS
Harrier-----Lexus RX
1 ni premium version ya nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Lexus GS pacha wake Toyota Aristo. Toyota Crown ni luxury sedan ya TOYOTA.Alteza---lexus IS
Crown-----Lexus Gs
Celsior-----Lexus LS
Harrier-----Lexus RX
1 ni premium version ya nyingine.
Mkuu lc series ni mkali namkubali ila kwangu mimi 110 hizi defender ndio mkubwa waoHapa umenigusa bila kumsahau kaka yake LC 70s
Pamoja na kwamba ni truck lakini bado ipo vizuri safarini halafu haina limitations. Sehemu yoyote unakatiza tu bila wasi wasiHa ha ha Pick up truck hio mkuu
Perception zinatofautiana.Dereva ambae hajui kuendesha Manual transmission cars naona kama anakosa uhondo. Manual ina utamu wake.
Mateso Kwa ambae hawezi kuendesha… Ila ukiwa mzoefu ni nzuri tu hasa upate gari ya DieselPerception zinatofautiana.
Manual ni mateso.
Naunga mkono hoja kwa 100%.Mateso Kwa ambae hawezi kuendesha… Ila ukiwa mzoefu ni nzuri tu hasa upate gari ya Diesel
Ukitaka upekee ......Hii Prado kali....ila brand yake ndo inaharibu stimu
Toyota kila kona bongo, full kuigana
Hahaha hizo tutaishia kuziona kwny tv tu,uwezo wa wanyonge ni kununua used SUV's za Bei inayorange hapo kwny 20mil-30mil.Ukitaka upekee ......
kakae kwenye Range Rover Latest.....
Nimeshangaa huyo muungwana anaiponda prado anasema full kuigana......!Hahaha hizo tutaishia kuziona kwny tv tu,uwezo wa wanyonge ni kununua used SUV's za Bei inayorange hapo kwny 20mil-30mil.
Majesta 2013 mpaka unayomkononi milioni 40 cash. MamaiyakeMajesta ya 2004 ushuru wa TRA+gharama za bandarini sio chini ya Tsh. Mil 11.
So hapo inabaki mil 5 mpk 6,yaani unamanisha CIF ya majesta iwe Ina range kwny $2100 to $2500?
Nakucheki tu Nasema hiiiiiiiiiiiii-Magu,Hahah.
4600 cc MajestaMajesta unaichukulia poa eeh? Yani anachoboa Toyota ni kuweka 180 kama ukomo ila Majesta ilitakiwa iende 280km/h full speed!
Hili majesta la zamani. lile jipya haligusi chini hata kidogo ena linapenda rough roadMkuu si ndo hii....full kuburuza bana
Mbona unaitetea sana au ndo unamiliki[emoji16]View attachment 1844833
Hivi full tank ya Majesta lita ngapi? Inaenda km ngapi?Majesta 2013 mpaka unayomkononi milioni 40 cash. Mamaiyake
Hahah kwa 2013 Bei iko mahala pake.Majesta 2013 mpaka unayomkononi milioni 40 cash. Mamaiyake
'hapo nimeruka ya ten ten....'Nimeshangaa huyo muungwana anaiponda prado anasema full kuigana......!
bongo gari zetu tunazijua.....
umejikongoja saana 20mil....
ama 40mil..
umejikamua utumbo 80 mil....
akitaka upekee aende kwenye hizo gari za mil 500....
hapo nimeruka ya ten ten....
Kwny LR3 air suspension zake zilichoka bei yake ya ku replace ilikua balaa ikabidi tu kununua coil conversion kit.Hili majesta la zamani. lile jipya haligusi chini hata kidogo ena linapenda rough road
Conversion kit ni nafuu?Kwny LR3 air suspension zake zilichoka bei yake ya ku replace ilikua balaa ikabidi tu kununua coil conversion kit.
Sijajua kwny majesta gharama zake zikoje air suspension zikichoka.
Ila kwa ule mneso wa air suspension gharama zake it's worth it.
Mashine kali sana. Kiukweli gari inaweza kuwa kali ila badge ikaishusha. Mfano hii gari ingekuwa na badge ya BMW,BENZ ingekuwaje?!! Au chukulia VW Amarok ipachike badge ya TATA utaikubali?Kazi ya kia niliyoielewa ni hii hapa tu,
TELLURIDE
View attachment 1845592View attachment 1845597View attachment 1845599View attachment 1845600
😅😅😅😅😅 Amarok kuwa TATA hio uongo yani kila nikion mibasi ya TATA nazidi kusikia kinyaa!Mashine kali sana. Kiukweli gari inaweza kuwa kali ila badge ikaishusha. Mfano hii gari ingekuwa na badge ya BMW,BENZ ingekuwaje?!! Au chukulia VW Amarok ipachike badge ya TATA utaikubali?