Una utani na mangi na jopo lake Chica Gee na Mpaji Mungu 😂😂dosho12 man u hawahuku wanamjadili kocha aliyecunha kwa mbeumo😂
Hao nao wamecunha kwa mbeumo au 😂😂😂Una utani na mangi na jopo lake Chica Gee na Mpaji Mungu 😂😂
Chukua muda unaotaka, si tupo ila tu usitukimbie 😅😅
Yaani mimi niwakimbie nyie labda nyie ndiyo mtakimbiaChukua muda unaotaka, si tupo ila tu usitukimbie 😅😅
Rasi kocha wetu ni tapeli asee
Asenane ndio mfunge midomo kabisa hapa tunaongelea matatizo yanayo wakumba mabingwa wa UEFAChukua muda unaotaka, si tupo ila tu usitukimbie 😅😅
Mi ningekuwa shabiki wa man u nisengejitangaza hadharani 😂 , muda bado unakaribisha chama kubwa Arsenal 😎Yaani mimi niwakimbie nyie labda nyie ndiyo mtakimbia
Dah hyo hamtaisahu kabisa😂 imekuwa kama silaha yenu kila tukiwa attack😅Asenane ndio mfunge midomo kabisa hapa tunaongelea matatizo yanayo wakumbwa mabingwa wa UEFA
Mabingwa wa ulaya sio jambo dogo bwashee, asenane mtulie kabisa digidigi nyieDah hyo hamtaisahu kabisa😂 imekuwa kama silaha yenu kila tukiwa attack😅
Si tunavumilia tu siku tukichukua uefa sijui mtasemajeMabingwa wa ulaya sio jambo dogo bwashee, asenane mtulie kabisa digidigi nyie