Vp wana manyuuu wenzangu, bado mna imani na kocha amorim?

Man yuu wanaendelea pale walipoishia katika safari yao ya kushuka daraja, Fagason aliondoka na timu timu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…