Vp wana manyuuu wenzangu, bado mna imani na kocha amorim?

alipanga kikosi lakini kikamwangusha,, yule maino hata simwelewi sijui ameridhika nn,, anakimbia kifather flani ,, ile game ilikuwa tufe mapema sema zile sub kidogo zikaturudisha,, Onana naye mikono imelegea ktk penat anajaribu kupangua lakin pila linaingia kwa goal ,
Huwa najiuliza ina maana hatumwoni Issack ?
 
Ebu muone onana😂
 
Timu yenu Ina kimavi Sana hiyo
Makocha wataogopa kuja kufundisha hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…